Huyu mtangazaji huwa namsikiliza sana habari zake kumbe shoga?

Richard Quest ndio mla jicho. Ila kwa wazungu huenda nae analiwa jicho siku nyingine.
 
Hapo njia panda na coca nishakusoma hapo

Ova
 
Sisi weusi ndio wasafi?
Tofauti yetu na wazungu ni kwamba wapo wazi na sio wanafiki mkuu.
Unakuta mtu anafumua marinda mtaani akija huku na ID fake anaruka miles saba hayupo kwenye hayo mambo. What's that?
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Mawinguni media.

Hata magogoni wapo.
 
Ndio maana watangazaji wengi wa CNN wanamchukia Trump
Kumbe wengi mabaradhuli na Trump hawapendi hata kidogo

Hawa wazungu ni tatizo kubwa
Umenikumbusha neno baradhuli kuna mpemba alinifahamisha kwanini Karume na Nyerere waliunganisha hizi nchi. Zanzibar wanatuletea Mahanithi na Maradhuli na Tanganyika tunawapelekea majambazi.
 
Hao watafaidika sana na serikali ijayo ya mwaka 2020 itakayoongozwa na mwanasheris nguli anayependwa na 99% ya watanganyika na wanaunguja pamoja na JF ukiwemo wewe mtama Genta...lol
 
Sisi weusi ndio wasafi?
Tofauti yetu na wazungu ni kwamba wapo wazi na sio wanafiki mkuu.
Unakuta mtu anafumua marinda mtaani akija huku na ID fake anaruka miles saba hayupo kwenye hayo mambo. What's that?
Inategemea marinda gani
 
Huwa najiuliza madhara ya hawa watu akina Quest ukilinganisha na watu kama Chenge, Ngereja, Tibaijuka, labda ushoga unaambukizwa? Binafsi huwa naamini hivi: "uhuru wa mwenzangu unapoishia ndipo uhuru wangu unapoanzia, hivo kuna mstari mkubwa unaotenganisha maisha aliyochagua kuishi Quest na maisha niliyochagua kuishi mimi" sijawahi kuumizwa life style ya mtu yeyote hata wife!
 
Utaambiwa unatetea ushoga mkuu.
 
Hilo mbona siki nyingi sana linajulikana kuwa shoga.
 
Unamsikiliza ila umuelewi kama una mwelewa niambie maana dialog
 
Hilo jina tu quest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…