Huyu mtangazaji huwa namsikiliza sana habari zake kumbe shoga?

Anamiminiwa mbegu kiama kipo karibu
 
Dah huyu bwege ameniumiza sana hisia zangu. Mimi nilikuwa namchukulia kama miongoni mwa babazangu wakubwa...... Nikampa heshima zote kumbe hii ndio hali halisi.
 
Hivi jaman hawa wanaolewa sie wanawake nani atatuoa mfyuuu[emoji57]
Mimi kama mwanaume hawa jamaa zetu wanatu aibisha sana sijui shida ni nini wakati mwenyekiti wao amesha tangulia mbele za haki
 
Hivi jaman hawa wanaolewa sie wanawake nani atatuoa mfyuuu[emoji57]
Na ninyi mnaruhusiwa kuoana tena ninyi mmependelewa mpaka wamewatengenezea vitendea kazi viwasaidie
 
Hivi si alishawahi kupiga picha mmoja wapo wa marais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waliomaliza muda wao?
 
Tatizo mnaangalia personal issue za watu. Wewe angalia taarifa ya habari tu.
Dah huyu bwege ameniumiza sana hisia zangu. Me nilikuwa namchukulia kama miongoni mwa babazangu wakubwa...... Nikampa heshima zote kumbe hii ndio hali halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…