Cooper si amepata mtoto juzi juzi hapa.Hata Anderson Cooper nilisikia naye ndio wale wale. Aisee!
hahahahahahahanasikia wengine wanapumuliana kwa zamu
Angalia hii.Cooper si amepata mtoto juzi juzi hapa.
Unguja wanaita "chenji bin chenji"Hawa wengi ni gonga ni kugonge
Bado tupo marijali usikhofu bibieHivi jaman hawa wanaolewa sie wanawake nani atatuoa mfyuuu[emoji57]
Wamefanyaje?si mtu na babaye?[SUB]View attachment 1491517[/SUB]
[SUB]daud na saul[/SUB]