Huyu mtangazaji kipindi cha Nirvana jamani?

Huyu mtangazaji kipindi cha Nirvana jamani?

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi?

Kwanza niseme leo ni bahati mbaya nimeangalia hiki kipindi maana nimemuona Hoyce Temu,lakini kuna segment nimeiona inaitwa "Nirvana news".

Mhhh... jamani kuna usalama kwa huyu mtangazaji? Maana anaongea naskia anacheka mixer anasema "heheeeee L.O.L..a".

Nyie wataalam hebu njuzeni.
 
Back
Top Bottom