Huyu mtangazaji kipindi cha Nirvana jamani?

Jamaa anakipatia sana kile kipindi....Big up..mengine ni speculation za watu..
ANYWAY huwezi kuzuia watu kuongea..
 
Nakipenda sana kipindi chake, hasa anavyoichambua fashoooni, japo kwenye blue capet ya JIDE walioalikwa kuwachambua waalikwa waliniboaaaaaaa, haswa yule wa "i dont know" mwanzo mwisho.
Anyway back to topic, nadhani kinachomponza huyu kaka ni zile shwagaz zake, mtaalam wa kucheka ki L.O.L
 
[emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha umenichekesha sana kijana
 
halafu uskute wadada na wanampenda kinoma,mchizi atakua anawafaidi sana anajichagulia tu sampuli za kila aina...
Jamaaa anawapiga wamama na masister duu. Kinoma huyo muoneni ivyo, unajuaa wadaadda na wamama wanapendwa kusifiwa
 
Reactions: MC7
Asilimia 99% ya wanaume walio kwenye hyo industry wanapumuliana.kuanzia madizaina,mamodo mpka hao watangazaji
 
Dear brothas.

If you ain't related nor are you bros, never ever worry about another brotha's orientation. It's just wrong.

If you're not comfortable with the mofo, just don't fcuk with him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…