Mbaya sanaHuyo bila shaka ni yule jamaa wa ze comedy tv ya afrika mashariki
Toka liniduh! haya sasa kashastaafu
Toka lini
Atakuwa Punga yule.
Mswahili siku zote huwaza anayoyafanya siku zote, namaanisha kuwa hicho unachowaza ndicho mnachofanyaga, mxiuuKweli yule jamaa kadiri siku zinavyokwenda atafananishwa na kitu fulani ajiangalie na ajichunguze tena ajirekebishe tu
Mswahili siku zote huwaza anayoyafanya siku zote, namaanisha kuwa hicho unachowaza ndicho mnachofanyaga, mxiuu
mtangazaji nguli na hodari wa kipindi cha mafashioon...' in Deo's voice'Si ni deo huyo nasikia ni.....
Point noted. Hii ni hatari sana.Wamama wanatazama vipindi kama hivyo na watoto wao wa kiume wadogo
halafu siku moja wanauliza 'alijifunzia wapi haya'?