Huyu mtangazaji kipindi cha Nirvana jamani?

Huyu mtangazaji kipindi cha Nirvana jamani?

Ila kipindi anakiweza sana......aongeze research,pia aingie mpaka mitaani kunyanyua vipaji.....iwe kama fashion star search(kinyune cha bongo star search ) mafundi kumi,wanashindanishwa kuanzia kuchagua kitambaa,kuchora,kushona,ubunifu,pia,atafute na mdhamini na mfumo wa kura,aangalie na umri wasiwe wazee sana
 
mwenzenu anamfanya mama ake mzazi aishi kweny nyumba kali sana na familia yake haina shda
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mtoto shoo yule.. Hawez kuvunja hata biskuti... Mi naamin yule mwana ni mpigania haki wa makundi madogo madogo....
Vp kuhusu msako alotangaza ndugu yetu mtukufu MAKONDAKTA, ?
 
Kweli yule jamaa kadiri siku zinavyokwenda atafananishwa na kitu fulani ajiangalie na ajichunguze tena ajirekebishe tu
 
Back
Top Bottom