The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,450
- 921
Pole sana, nimewahi muda mrefu kaka. Kaa mbali.
tsup Ray
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, nimewahi muda mrefu kaka. Kaa mbali.
We acha tu asee!. Nikisikia kameolewa roho itaniuma sana.
Yaaani, kale katoto wakaache tu aisee. Wasikasumbue hakana kosa lolote.
Hapo nikweli mkuu nimemshuhudia leo asubuhi ameniboa sana.
Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi, binafsi alinikwaza sana, maana kuna ile miondoko ya wenzetu wa cnn, bbc, skynews nk, ngefanya hivyo wala nisingesema kitu. Lakini huyu Dada Ivona Kamuntu anakiburi cha kujishebedua na kudhani ni mjuzi wa kila kitu na hasa anapojifinyanga na kufinya macho na hasa jicho moja kwa dharau, kana kwamba anaongea na watoto au mazezeta haifurahishi wala kuleta maana nzuri.
Ivona Kamuntu, kama anataka kufika mbali katika kazi yake hakika yampasa kujirekebisha vinginevo anajichafulia mwenyewe.
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,
sio uongo kale kadada katakuwa kamekulia uswazi kanaringa na kujishebedua. ila kana mvuto nakapenda
Hiyo ni individuality, ambayo kila mtu huwa na yake. Ndo humtofautisha na wengne pale aongeapo.
Mim nafikiri tatizo hapa ni uzuri, yule mtoto ni mzuri kubalini au kataeni, daima kwenye ukweli uongo hujitenga pembeni
Angalia !, Watu wasije kusema ni katusi.
Acha chuki binafsi! Ndivyo alivyo unataka awe kama wewe unavyotaka? What is the standard code of gestures while in the studio? and whose standards are the standards! Hujamtendea haki.
Hoja yangu ninayokuunga mkono ni individuality! We are different anyway!
Na wewe hutaki kukubali kwamba ni mzuri? My frnd there are facts in life we can never change.
Uzuri or beauty is not a concept. Beauty/Uzuri is private and not public! Concepts are public!
atakuwa nshomile aka mhaya
tsup Ray
We acha tu asee!. Nikisikia kameolewa roho itaniuma sana.