Huyu mtangazaji Wa Star TV

Huyu mtangazaji Wa Star TV

chakukatofautisha na watangazaji star tv ni kwamba kako smart kichwani. Napenda kanavouliza maswali. critical questions ndo inamfanya presenter aonekane mzuri. Presenter wengi mbulura kabisa
 
Yaaani, kale katoto wakaache tu aisee. Wasikasumbue hakana kosa lolote.

Hawa wanaoponda mimi nahisi wanakaonea wivu tu, kale kabinti kazuri sana, unajua ukiwa mzuri sana hata kama huringi watu watakuona unaringa sababu ya uzuri wako.
 
Hapo nikweli mkuu nimemshuhudia leo asubuhi ameniboa sana.

Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi, binafsi alinikwaza sana, maana kuna ile miondoko ya wenzetu wa cnn, bbc, skynews nk, ngefanya hivyo wala nisingesema kitu. Lakini huyu Dada Ivona Kamuntu anakiburi cha kujishebedua na kudhani ni mjuzi wa kila kitu na hasa anapojifinyanga na kufinya macho na hasa jicho moja kwa dharau, kana kwamba anaongea na watoto au mazezeta haifurahishi wala kuleta maana nzuri.

Ivona Kamuntu, kama anataka kufika mbali katika kazi yake hakika yampasa kujirekebisha vinginevo anajichafulia mwenyewe.

Hiyo ni individuality, ambayo kila mtu huwa na yake. Ndo humtofautisha na wengne pale aongeapo.

Mim nafikiri tatizo hapa ni uzuri, yule mtoto ni mzuri kubalini au kataeni, daima kwenye ukweli uongo hujitenga pembeni
 
Wanajamvi,Leo natoa dukuduku langu hasa kwa mtangazaji VYONA KAMUNTU Wa star Tv,apunguze malingo na kujisikia pale anapokuwa Anatangaza pale Luninga ya star Tv,kwani anajibinuabinua utadhani kuna Mtu Ana mlingishia sura yake,Ajirekebishe ,mbona watangazaji wenzake wanatangaza vema?au anajiona kuwa yeye ni mrembo zaidi?Anakera sana huyu Dada,

Acha chuki binafsi! Ndivyo alivyo unataka awe kama wewe unavyotaka? What is the standard code of gestures while in the studio? and whose standards are the standards! Hujamtendea haki.
 
sio uongo kale kadada katakuwa kamekulia uswazi kanaringa na kujishebedua. ila kana mvuto nakapenda

Kwa uzuri kama ule, ana kila haki ya kuringa, Mungu kamjaalia sura ingawa sijajua umbo
 
Hiyo ni individuality, ambayo kila mtu huwa na yake. Ndo humtofautisha na wengne pale aongeapo.

Mim nafikiri tatizo hapa ni uzuri, yule mtoto ni mzuri kubalini au kataeni, daima kwenye ukweli uongo hujitenga pembeni

Hoja yangu ninayokuunga mkono ni individuality! We are different anyway!
 
Acha chuki binafsi! Ndivyo alivyo unataka awe kama wewe unavyotaka? What is the standard code of gestures while in the studio? and whose standards are the standards! Hujamtendea haki.

Yap, they are burning with envy hahahahahah,
 
Uzuri or beauty is not a concept. Beauty/Uzuri is private and not public! Concepts are public!

Ni kweli usemacho mkuu, uzuri wa kitu uko machoni pa mtu, so it is just an opinion, but when it comes to Ivona's astonishing beauty, that opinion is proved to become a fact.
 
Mwezi ujao tunakula wali mkuu, ndo roho itakuuma vizuri
Halafu usiseme kwa sauti Ray atakutoa macho, mwenzi anahesabu siku tu amiliki kitu kihalali


We acha tu asee!. Nikisikia kameolewa roho itaniuma sana.
 
Back
Top Bottom