Huyu mtoto ana vitu viwili ambavyo hela haiwezi kuvinunua. Furaha na Afya njema

... si analia huyo? Afya yake njema umeijuaje madam?
 
Are you judging something by its cover?
 
Hivi afya njema unaipima kwa mwonekano wa mwili? Health is about physical and mental well being not merely absence of diseases. Unaipimaje mental health ya huyu mtoto kutumia picha?
 
Hivi afya njema unaipima kwa mwonekano wa mwili? Health is about physical and mental well being not merely absence of diseases. Unaipimaje mental health ya huyu mtoto kutumia picha?
Mtoto mwenye matatizo ya akili hata uso wake unaonekana.
 
Una uhakika huyu mtoto ana furaha kama unavyosema?
 
Hiyo afya italetwa na pesa mana ili uwe na afya njema n lazima uwe na pesa ya kuihudumia afya yako.
Furaha nayo huletwa na pesa, mfano mwanao anaumwa na inahitajika pesa za matibabu, hapo utaipataje furaha.?

Pesa ndio kila kitu, mengine yanakuja muda unaostahili.
 
Hela ndio msingi wa vyote,nikishika elfu 50 nikiingia baa huwa nasahau shida zangu zote na furaha inakuja ghafla,watu tuko tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…