sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Huyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya kawaida sana
Siffa za huyu mtu
1. Alikuwa mtoro sana
2. Form 2 alianza kuvuta bangi na form 3 alianza kuuza kabisa shuleni
3. Alimpiga kofi Mwalimu kukataa viboko, pia kutuhumiwa kufoji risiti ya ada, hizi kesi zilipelekea suspension.
4. Kwenye Mapenzi huku ni kama alikuwa na nyota ya ziada, Ucheshi, Usafi, akili, nk vilimpa tiket ya kubadili atakavyo na wanafunzi wa kike
5. Alipenda sana kusoma vitabu vya elimu binafsi (sio vya necta ) Alikuwa anatuambia yeye kusoma vitabu ni kama starehe,
6.Alikuwa ni mtu mtu wa watu, wengi walipenda kamapani yake, hakuwa mtu wa kuringa, ila waliokuwa karibu yake walipoanza kumwiga shule iliwaendea kushoto
7.Alikuwa na uwezo mkubwa wa kuongea, unatamani muongee tu muda wote maana anaongea sana points, ucheshi, body language, n.k alikuwa anasema vitabu anavyosoma ndio msaada kwake
Leo hii atika pita pita zangu nilkutana na rafiki yangu flani wa sekondari, sasa katika mazungumzo ya nani yupo wapi anafanya nini, nilipigwa na butwaa ambalo hadi sasa ivi naona ni kama mujiza, Huyo bwana mtundu hapo juu saizi ana kazi nzuri tu katika moja ya taasisi kubwa ya serikali.
Tulipomaliza form 4 huyo bwana, huko form 6 alizidi utundu wake kufikia steji ya kuhama shule 3, biashara yake hio alianza kufata mzigo Arusha na akawa anauza mtaani na shuleni, ila akafaulu na divishen 1 ya 5 na kuongozea shule aliyosoma, na hioo shule walidhani alinunu mtihani, Nakumbusga tena enzi hizo hii divisiin 1 ya 5 ilikuwa nadra hasa kwenye shule aliyosoma ya kawaida
Akachaguliwa chuo safi tu kwa huo ufaulu wake, Na huko kwa uhuru aliopata nadhani unaweza kujenga picha, ila alihitimu kwa G.P.A ya 4.7 (first class), alipata kazi kiulaini sana, alipoenda kuendelea na masters alipomaliza matokeo yake yalimbeba zaidi saizi ana kazi nzuri tu, Mbali na hapo pia ana miradi halali.
Kwa sasa ni mtu aliebadilika sana kuwa miongoni mwa watu ambao ni mifano ya kuigwa, hana makuu wala vurugu, kawa mcha Mungu, watu wake wa karibu wanasema kaacha kuvuta bangi ila hunywa pombe mara chache sana, ni baba wa familia inayoishi vizuri kimaadili, n.k
Siku hizi kaacha ishu zake hizi nadhani yalikuwa mambo ya ujana ila bado najiuliza huyu ni mtu kweli?