Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

Kama huna hela alafu unachoma ganja na hauna kazi utaishia kuwa mwizi , ila Kama unachoma alaf unayo kazi bas itakufanya ujitume Sana kwenye kazi yako kama ni kilimo utalima Sana, Kama ni dereva ma malori utavunja gear masaa 72 bila kupumzika na Kama ni kusoma utasoma
 
Ndg shule za serikali advance miaka hiyo mitihani ilikuwa inafanyika majibu hayarudi nijambo la kawaida
 
mpaka leo huwa najiuliza yule jamaa alikuwa anatumia mizimu au majini?


Kila mtu ametoka anapopajua.🀣🀣--- hivyo vitu vipo na ukiambiwa huwezi amini.

Hii dunia acheni tu, kuna mambo yana miiko yake wewe ukipewa hiyo miiko yake si ajabu ukazimia kama sio kufa kabisa.
 
Kuna Jamaa nilisoma nae anaitwa Mark Zukerberg Jamaa alikuwa balaa aliogopa sana mademu ila kuda demu wa kichina alikuwa anampenda sana yeye tulimuita zezeta but kichwani alikuwa vizuri ila sijui yupo wapi kwa sasa...! wadau walikuwa wanadhani ni aliens
 
Kuna siri kubwa kwenye Bangi!
 
Mimi nipo kwenye kundi hilo mkuu...pia siwezagi kusoma usiku yaani.
Wa hivyo wapo Ni mtoro hasomi mchana na hasomi na mtu Ila hujisomea night Kali akiwa peke yake tena huwa na uwezo wa kuelewa haraka kuliko wengine.Dk 10-30 kagusagusa kila topic zilizo fundishwa na hatoki kapa!
 
Mkuu kwema, naona umenifungulia uzi huku.
Mimi ni John tuliosoma wote sekondari.
 
wabongo hawakawii kusema jamaa ni usalama wa taifa, ova.
 
Bangi ndo imesababisha awe ana akili
 
Malizia pia unaweza ukala za uso na za chogo,
Tusidanganywe na misemo ya kihenga,
Eti sijui mchumia juani hulia kivulini...
Maisha hayaendi kwa huruma, unaweza utembelee rim mwanzo mwisho na mwenzako bata mwanzo mwisho.
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] mwanzo mwisho unatembelea rim
 
Kuna watu naturally ni gifted sio lazima iwe shuleni
 

daah!! Namkumbuka jamaa mmoja hivi HUSSEIN MNONDWA kwa sasa yupo kenya ktk kambi ya wakimbiz kakuma na mpango wake afike U S A.

Huyu jamaa Sifa zote hizo anazo kasoro ajira tu ,mungu kampa karama zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…