Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

Hahahahahaha
 
Nakubali master [emoji119]

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
sounds like me execpt kwenye bangi nilianza form ila sikuwahi kuuza kwanza kwetu waikua watakatifu sana jumlisha na matokeo yangu ya class nilikua anyoosha hakuna hata mtu alikuwa anaweza kuamni kama nili kua nakula mmea tokea form nyoya, ila sikuwahi kupiga mwalimu maana nikikua nakiumbo kidogo sana
 
nishajaribu kufanya ivo aseee nilikula za uso necta[emoji1][emoji1] ,ila maisha bana unaweza kuwa vibaya darasan ukawa vizuri mtaani pia unaweza ukawa vizur darasan ukafeli mtaani.
Mbona story ya kubuni tuu, Haina umalizio unaoeleweka
 
Malizia pia unaweza ukala za uso na za chogo,
Tusidanganywe na misemo ya kihenga,
Eti sijui mchumia juani hulia kivulini...
Maisha hayaendi kwa huruma, unaweza utembelee rim mwanzo mwisho na mwenzako bata mwanzo mwisho.
Kutembelea Rim mana yake nini
 
Chuo.kumbe mnapata 80 Hamna cozweki huko au ilikuwa cheti
 

Uongo wa hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…