paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Kila mtu na mbabe wake! hakuna cha tingatinga wala nini. Airforce one iko angani sasa ni wakati wa kuyaambia hayo mauaji na mijizi ya kura yafanye fyoko yaone. Muwahi kwenda kurecharge pace maker mapema sababu hana ubavu hata wa mita mbili kwe huyo mnyama aliyeangani tayari kupiga!Subiri kipenga kipulizwe ushindi siku zote ni uwanjani. Hii kaachiwa watu wamshangae ili wakati wa kampeni kusitokee wakutaka kwenda kwa ajili ya kumshangaa. Ndio maana ratiba imepita kwenye ngome zao zaidi.
CCM leo kutangaza majina ya wagombea wao kumeipoteza cdm, je kampeni zitapo anza na tingatinga arudi barabarani?
kila siku mambo yanabadilika ndugu,Kuna nyakati vijana hawakujishughilsha na kupiga kura lakini sasa wanapiga,Kuna nyakati hata kura zenyewe hazikuonekani lakini nyakati zinakuja kura zitaonekana,Vyombo vya ulinzi na usalama vilijitanabaisha kua sehemu ya chama tawala lakini nyakati zinakuja vitajitenga nao kwa kua wananchi wa wanaounga mkono chama tawala watakua sawa na wa vyama pinzani.Nyakati zinabadilika hakuna aliyetegemea Lissu kupata haya mapokezi kwa kua matusi kejeli na maaminisho kua ni msaliliti vilimwagwa lakini watu hawasikilizi tena Propaganda zisizo wasaidia.Nyakati zimefika watu hawatazami tena umaarufu wa chama wanatazama watu.Nyakati zimebadilika usikalili.Maybe ni mgeni kwenye siasa
Mrema alikuwa amepandikizwa tu so ccm walikuwa wanajua nn kinafanyika
Lowassa still alikuwa ni Mwanaccm Tena ambae 80% ya maisha yake katumikia Chama
Lisu hajawahi kabisa kuwa ccm
Mwenyekiti wao jana kasema atafanya zaidi ya alivyofanya katika miaka yake mitano aliyomaliza,hiyo tafsiri yake ni moja tu ambapo kila mbinyo tulioshuhudiautaongezeka.Kama ni mbinyo kwa watumishi utaongezeka,kodi na kesi za uhujumu uchumi zitaongezeka,wakulima mbalimbali walioporwa mazao yao kutaongezeka,wafugaji walioteseka kwa miaka mitano ndiyo hivyo hivyo,wavuvi na nyavu zenu zilizoitwa haramu mtaendelea kupiga mbizi kupata samaki bila nyavu nk.Sio kwa hali ilivyo sasa!
Watu wanaishi maisha magumu wewe unawatangazia ujenzi wa flyover japo zina manufaa lakini watakaokuelewa wachache. Miaka mitano bila kuongeza hata 100 kwenye mshahara? Watu wasio na vyeti unadhani wamesahau walivyofanyiwa unyama ausio?
Wafanyabiasharaa wamepewa makesi ya Uhujumu uchumi kila kukichaaa... Watu wamefunga Biasharaa kila konaa yani ukitembea mabarabarani siku hizi si ajabu kukuta frame 6 kati ya Kumi zilizokuwa zinafanya kazi zamani zimefungwaa. Mashirika na Bank mengi tu yanatambali ulimii.
THIS WONT BE A EASY BATTLE FOR CCM AT ALL..
Lowassa na Mrema ndio walio wahi kuitikisa CCM na haito tokea tena. CCM iko very dynamics inabadilika sana kufuatana na hali halisi na mapenzi ya wananchi kwa wakati huo.
2020 Utaona asilimia 80% ya wabunge CCM ni chini ya miaka orobaini. Upinzani kujivunia vijana haipo tena, wazee ndio wamesheheni upinzani.
CCM wanapenda cheap labour na haya ndio matokeo yake.Achana nalo hilo taahira la Lumumba limekuruouka kujibu tu bila kusoma. CCM ina uhaba wa vijana wenye uelewa!
kwa kweli huyu jamaa ni jasiri kupita maelezo.Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi yetu.
Wanasiasa wa aina hii husababisha katiba na sheria za nchi katika mataifa mbalimbali duniani kubadilishwa ili kua-accomodate wapinzani ndani ya serikali kutokana na kuwa na uungwaji mokono mkubwa wa wananchi na zaidi kuwa na misimamo isiyoyumba ambayo hulazimisha watawla kufanya nao mazungumzo ili mambo yaende kama ilivyotokea huko Zanzibar kwa Maalim Seif kupewa wadhifa wa kuwa makamu wa kwanza wa Raisi mwaka 2015 kama sikosei.
Baada ya Zanzibar,sasa inaweza kuwa ni zamu ya Bara kufanya mabadiliko ya katiba kuwezesha wapinzani kuwa ni sehemu ya serikali ingawa si jambo rahisi kutokea na hata likitoea, basi huwa na mchakato mrefu lakini mwisho wa siku mambo hutimia ingawa inluence ya taasisi za kimataifa na mataifa makubwa huwa pia ni sehemu ya kufanikisha mambo haya hasa pale upinzani unapokuwa na nguvu na kusimama imara.
Lissu akijiridhisha kupata kura nyingi za kumuwezesha kushinda,basi lolote kati ya hayo linaweza kutokea maana najua hatotaka kurudi nyuma zaidi ya kupigania haki yake na hapo ndio inaweza kuwa mwanzo wa haya niyasemayo kutimia bila kujali itachukua muda gani au kutakuwa na ugumu kiasi gani.
Matamshi yake ya leo kuhusu yeye kupigwa risasi na aliowatuhumu/aliemtuhumu,ni ushahidi wa jinsi gani alivyojasiri wa kusema au kutenda mambo yasiyotegemewa na wengi kwani leo kaenda mbali zaidi katika kutoa tuhuma za waliompiga risasi.
Huyu jamaa ana nguvu zaidi ya nguvu za mwanadamu, ila ni vigumu watu kuona au kuelewa ukweli huu mpaka yatimie.kwa kweli huyu jamaa ni jasiri kupita maelezo.
Ww ni binadamu muongo. Mtu yoyote asiyetaka Tl ashinde hawezi kuwa muongo wa kiwango chako Bali yule tu anayetaka kuhadaa ili ashinde.Lowassa na Mrema ndio walio wahi kuitikisa CCM na haito tokea tena. CCM iko very dynamics inabadilika sana kufuatana na hali halisi na mapenzi ya wananchi kwa wakati huo.
2020 Utaona asilimia 80% ya wabunge CCM ni chini ya miaka orobaini. Upinzani kujivunia vijana haipo tena, wazee ndio wamesheheni upinzani.
16 bullets and yet he's alive?Huyu jamaa ana nguvu zaidi ya nguvu za mwanadamu, ila ni vigumu watu kuona au kuelewa ukweli huu mpaka yatimie.
Mungu alipanga mwisho wa CCM kwa namna ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuelewa kirahisi. Aliamua aje mtu mgeni kwenye chama (Magufuli) ambaye atawanyang'anya chama wakongwe (Makamba, Kinana, Kikwete, Membe nk) na kuingiza watu wake wapya (Bashiru, Makonda, Polepole).Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi yetu.
Wanasiasa wa aina hii husababisha katiba na sheria za nchi katika mataifa mbalimbali duniani kubadilishwa ili kua-accomodate wapinzani ndani ya serikali kutokana na kuwa na uungwaji mokono mkubwa wa wananchi na zaidi kuwa na misimamo isiyoyumba ambayo hulazimisha watawla kufanya nao mazungumzo ili mambo yaende kama ilivyotokea huko Zanzibar kwa Maalim Seif kupewa wadhifa wa kuwa makamu wa kwanza wa Raisi mwaka 2015 kama sikosei.
Baada ya Zanzibar,sasa inaweza kuwa ni zamu ya Bara kufanya mabadiliko ya katiba kuwezesha wapinzani kuwa ni sehemu ya serikali ingawa si jambo rahisi kutokea na hata likitoea, basi huwa na mchakato mrefu lakini mwisho wa siku mambo hutimia ingawa inluence ya taasisi za kimataifa na mataifa makubwa huwa pia ni sehemu ya kufanikisha mambo haya hasa pale upinzani unapokuwa na nguvu na kusimama imara.
Lissu akijiridhisha kupata kura nyingi za kumuwezesha kushinda,basi lolote kati ya hayo linaweza kutokea maana najua hatotaka kurudi nyuma zaidi ya kupigania haki yake na hapo ndio inaweza kuwa mwanzo wa haya niyasemayo kutimia bila kujali itachukua muda gani au kutakuwa na ugumu kiasi gani.
Matamshi yake ya leo kuhusu yeye kupigwa risasi na aliowatuhumu/aliemtuhumu,ni ushahidi wa jinsi gani alivyojasiri wa kusema au kutenda mambo yasiyotegemewa na wengi kwani leo kaenda mbali zaidi katika kutoa tuhuma za waliompiga risasi.
Asante sana huo ni muono kipofu wako. Umekataa ukweli na ukweli unauona ni uwongo. Tusubiri matokeo.Ww ni binadamu muongo. Mtu yoyote asiyetaka Tl ashinde hawezi kuwa muongo wa kiwango chako Bali yule tu anayetaka kuhadaa ili ashinde.
Yeah! Nakubali maana yeye anaropoka tuuna mawazo yaliyokongoroka sana! una umri gani mkuu? Lissu hafanani kabisa na hao uliowataja
Hilo liko waziKuna kauli naitoa humu kila siku na leo narudia, CCM haitapata kura za watumishi wa umma isipokuwa polisi na jeshi nadhan, CCM haitapata kura za wafanya biashara, CCM haitapata kura za baadhi ya wakulima, CCM haitapata kura za vijana walioko mitaani bila kujua kesho yao ikoje, CCM haitapata kura za wanafunzi wa vyuo vikuu, ila maajabu ni kwamba CCM itashinda kwa asilimia kubwa sana na uchaguzi utapita na mambo yataendelea kama kawaida, watanzania wa kuumia watendelea kuumia na wale wa kula keki ya taifa wataendelea kula tu.
Ila kile nimeshuhudia leo Kyela baada ya kutajwa mgombea. Nderemo vifijo bodaboda kelele mji kushangilia.Subiri kipenga kipulizwe ushindi siku zote ni uwanjani. Hii kaachiwa watu wamshangae ili wakati wa kampeni kusitokee wakutaka kwenda kwa ajili ya kumshangaa. Ndio maana ratiba imepita kwenye ngome zao zaidi.
CCM leo kutangaza majina ya wagombea wao kumeipoteza cdm, je kampeni zitapo anza na tingatinga arudi barabarani?
Both ways,Nyerere alifunga multiparty system pia akafunga au akapiga marufu kuibiwa mali zetu na makampuni ya kigeni.Bila CCM mda huu Tanzania ingekuwa kwenye G5 na kuwa na kura ya veto, Tanzania ni level ya America, German, England, China, Urusi na mataifa mengine tajiri kutokana na Tanzania kumiliki rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa nyingi inapotelea kwenye kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo.
Ona mawazo ya think tank wa lumumba , mataga mwaka mtaongea yote , mtatapika ndoano.Tume imeshawatangaza kwamba wamepita bila kupingwa?
Kwa maoni yangu nadhani Chadema wangetafuta sababu yoyote ile, wasusie huu uchaguzi ili kuepuka aibu itakayowakuta. Ikiwezekana hata wampige Lissu jiwe la kichwa lakini lisimuue wala kumjeruhi. Maana jeshi lililotangazwa leo, sioni ni Jimbo gani wanaweza kuchukua. Kila Jimbo amepelekwa mtu sahihi anaetakiwa na kukubalika na wananchi. Cha kufurahisha zaidi, asilimia kubwa ni vijana wachapa kazi.
Umoja wa kitaifa kwa mgombea yopi wa urais? Kwa wabunge wapi? Nipe idadi ya wabunge wa CDM watakao shinda .Hakuna mgombea anayeweza kufikisha 70% uchaguzi wa mwaka huu. Itakuwa ni close tie, 50/50; 52/48; 54/46!
CCM vs Upinzani kiujumla.
Serikali ya Umoja wa kitaifa loading...
Matokeo yoyote hayatahalalisha uongo wako, Jpm atakuwa raisi uwezekano ni mkubwa sana ndio. 97% ni raisi ila haitamaanisha kuwa ulisema kweli.Asante sana huo ni muono kipofu wako. Umekataa ukweli na ukweli unauona ni uwongo. Tusubiri matokeo.