UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform mbalimbali za mitandao ya kijamii akijinadi Kwa sifa kedekede na kuwadhoofisha wapinzani wake akiwemo "Baba levo" ya kwamba wakae mbali na yeye kwasababu Amesoma kuwazidi,huwa anaenda mbali zaidi na kudai anazo Degree mbili!
Binafsi nimekuwa na mashaka na maneno yake kwasababu vitu ambavyo anafanya ni kama hata hao anaowasema kila siku kwamba anawazidi elimu waweza wakawa wanamzidi uelewa wa mambo na akili Kwa Ujumla wake(IQ)!
Nimezidi kupata mashaka zaidi baada ya kuona kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii jamaa akiwa huko Marekani,jamaa nimemuona akiwa huko anapata taabu sana kuongea Kiingereza hata Kwa dakika zisizozidi mbili!
Siyo kwamba nakitukiza Kiingereza wakuu,Binafsi naamini Kiingereza ni Lugha kama zilivyo Lugha nyingine na binafsi naamini kabisa Kusoma sana siyo kukielewa Kiingereza sana!
Ki Bongo bongo tunaamini mtu aliyefika levo za juu za elimu ni lazima angalau aweze kuzungumza Kiingereza angalau ukaeleweka Kwa watu,kwasababu unapoanza form six hadi chuo,masomo mengi ni Lugha ya Kiingereza na ukiacha hata masomo,debate zote huwa inatumika Lugha ya Kiingereza Ili kuwajengea wasomo hao kujiamini na kujieleza!,Pia huko vyuoni utakutana na watu kutoka mataifa mbalimbali hata shule mbalimbali wanaokifahamu Kiingereza Kwa ufasaha,hivyo na wewe utalazimika kufahamu angalau hata kidogo Cha kujieleza!
Binafsi nimesoma hadi form 6 tena sikuchukua masomo ya Arts,Mimi nilichaguliwa Kusoma mchepuko wa Sayansi (PCB),Lakini pamoja na yote ninakifahamu Kiingereza japo Cha kujieleza na nikaeleweka hata mbele ya watu!
Naendelea kushangaa namna jamaa ambavyo haelewi hata kujieleza mbele ya watu huko Marekani na nabaki kumshangaa!
Je,wanaomjua jamaa,ni kweli anamiliki digrii mbili?,Hizo digrii jamaa alizipataje?,Au huwa anatania tu mitandaoni Ili watu wamuone kasoma?
Kuna mahali nimemuona anamuhoji mzungu,nikabaki kujiuliza maswali mengi sana!
MWIJAKU "How are you from?"
Mzungu "Eeeh what!?"
Mwijaku "How are you from"
Mzungu " I am from ........."
Bila shaka mzungu aliamua kujiongeza maana aliona kabisa jamaa hajui Lugha!
Sasa,swali nalojiuliza Ina maana Msomi wa chuo kikuu anayemiliki digrii 2 anashindwa kuuliza "Where are you from?"
Mbona napata mashaka sana na elimu yetu!🤔