Huyu mtu anayejiita Mwijaku, amesoma Vyuo gani?

Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform mbalimbali za mitandao ya kijamii akijinadi Kwa sifa kedekede na kuwadhoofisha wapinzani wake akiwemo "Baba levo" ya kwamba wakae mbali na yeye kwasababu Amesoma kuwazidi,huwa anaenda mbali zaidi na kudai anazo Degree mbili!

Binafsi nimekuwa na mashaka na maneno yake kwasababu vitu ambavyo anafanya ni kama hata hao anaowasema kila siku kwamba anawazidi elimu waweza wakawa wanamzidi uelewa wa mambo na akili Kwa Ujumla wake(IQ)!

Nimezidi kupata mashaka zaidi baada ya kuona kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii jamaa akiwa huko Marekani,jamaa nimemuona akiwa huko anapata taabu sana kuongea Kiingereza hata Kwa dakika zisizozidi mbili!

Siyo kwamba nakitukiza Kiingereza wakuu,Binafsi naamini Kiingereza ni Lugha kama zilivyo Lugha nyingine na binafsi naamini kabisa Kusoma sana siyo kukielewa Kiingereza sana!

Ki Bongo bongo tunaamini mtu aliyefika levo za juu za elimu ni lazima angalau aweze kuzungumza Kiingereza angalau ukaeleweka Kwa watu,kwasababu unapoanza form six hadi chuo,masomo mengi ni Lugha ya Kiingereza na ukiacha hata masomo,debate zote huwa inatumika Lugha ya Kiingereza Ili kuwajengea wasomo hao kujiamini na kujieleza!,Pia huko vyuoni utakutana na watu kutoka mataifa mbalimbali hata shule mbalimbali wanaokifahamu Kiingereza Kwa ufasaha,hivyo na wewe utalazimika kufahamu angalau hata kidogo Cha kujieleza!

Binafsi nimesoma hadi form 6 tena sikuchukua masomo ya Arts,Mimi nilichaguliwa Kusoma mchepuko wa Sayansi (PCB),Lakini pamoja na yote ninakifahamu Kiingereza japo Cha kujieleza na nikaeleweka hata mbele ya watu!

Naendelea kushangaa namna jamaa ambavyo haelewi hata kujieleza mbele ya watu huko Marekani na nabaki kumshangaa!

Je,wanaomjua jamaa,ni kweli anamiliki digrii mbili?,Hizo digrii jamaa alizipataje?,Au huwa anatania tu mitandaoni Ili watu wamuone kasoma?

Kuna mahali nimemuona anamuhoji mzungu,nikabaki kujiuliza maswali mengi sana!

MWIJAKU "How are you from?"

Mzungu "Eeeh what!?"

Mwijaku "How are you from"

Mzungu " I am from ........."

Bila shaka mzungu aliamua kujiongeza maana aliona kabisa jamaa hajui Lugha!

Sasa,swali nalojiuliza Ina maana Msomi wa chuo kikuu anayemiliki digrii 2 anashindwa kuuliza "Where are you from?"

Mbona napata mashaka sana na elimu yetu!🤔
mbona yuko humu atakuja kujieleza
 
Mliozaliwa kwa msaada wa waganga wa kienyeji mbona mnashida sana..............hebu tulia mother.............ker
NYIE MLIOZALIWA MKATANGULIZA MIGUU... TENA MMEPIGA MSAMBA..... NISISEME ZAIDI. MIJAKU MKUBWA WEWE KILAZA.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform mbalimbali za mitandao ya kijamii akijinadi Kwa sifa kedekede na kuwadhoofisha wapinzani wake akiwemo "Baba levo" ya kwamba wakae mbali na yeye kwasababu Amesoma kuwazidi,huwa anaenda mbali zaidi na kudai anazo Degree mbili!

Binafsi nimekuwa na mashaka na maneno yake kwasababu vitu ambavyo anafanya ni kama hata hao anaowasema kila siku kwamba anawazidi elimu waweza wakawa wanamzidi uelewa wa mambo na akili Kwa Ujumla wake(IQ)!

Nimezidi kupata mashaka zaidi baada ya kuona kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii jamaa akiwa huko Marekani,jamaa nimemuona akiwa huko anapata taabu sana kuongea Kiingereza hata Kwa dakika zisizozidi mbili!

Siyo kwamba nakitukiza Kiingereza wakuu,Binafsi naamini Kiingereza ni Lugha kama zilivyo Lugha nyingine na binafsi naamini kabisa Kusoma sana siyo kukielewa Kiingereza sana!

Ki Bongo bongo tunaamini mtu aliyefika levo za juu za elimu ni lazima angalau aweze kuzungumza Kiingereza angalau ukaeleweka Kwa watu,kwasababu unapoanza form six hadi chuo,masomo mengi ni Lugha ya Kiingereza na ukiacha hata masomo,debate zote huwa inatumika Lugha ya Kiingereza Ili kuwajengea wasomo hao kujiamini na kujieleza!,Pia huko vyuoni utakutana na watu kutoka mataifa mbalimbali hata shule mbalimbali wanaokifahamu Kiingereza Kwa ufasaha,hivyo na wewe utalazimika kufahamu angalau hata kidogo Cha kujieleza!

Binafsi nimesoma hadi form 6 tena sikuchukua masomo ya Arts,Mimi nilichaguliwa Kusoma mchepuko wa Sayansi (PCB),Lakini pamoja na yote ninakifahamu Kiingereza japo Cha kujieleza na nikaeleweka hata mbele ya watu!

Naendelea kushangaa namna jamaa ambavyo haelewi hata kujieleza mbele ya watu huko Marekani na nabaki kumshangaa!

Je,wanaomjua jamaa,ni kweli anamiliki digrii mbili?,Hizo digrii jamaa alizipataje?,Au huwa anatania tu mitandaoni Ili watu wamuone kasoma?

Kuna mahali nimemuona anamuhoji mzungu,nikabaki kujiuliza maswali mengi sana!

MWIJAKU "How are you from?"

Mzungu "Eeeh what!?"

Mwijaku "How are you from"

Mzungu " I am from ........."

Bila shaka mzungu aliamua kujiongeza maana aliona kabisa jamaa hajui Lugha!

Sasa,swali nalojiuliza Ina maana Msomi wa chuo kikuu anayemiliki digrii 2 anashindwa kuuliza "Where are you from?"

Mbona napata mashaka sana na elimu yetu!🤔
University of Jalalani
 
Anaitwa Burton Mwemba/e amesoma jalalani
Na mzumbe

Watu wanamuona kama kichaa ila amini domo lake analopiga linampa hela balaa.
 
Jamhuri ya Watekaji
Mpo bize kujadili mapedeshee, kuliko kukabiliana na tishio la usalama linalozalishwa na TanPol na usalama
 
Amesoma Mzumbe University
 
Mwenda zake alikuwa na"series" zake mbili matata sana ya kwanza akiwashukuru wafadhili fulani wa University of "Columbio" na ya pili aliyosema ".... before people used to die in the lake..." Mwenye hizo clip mbili atuwekee hapa tuburudike.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform mbalimbali za mitandao ya kijamii akijinadi Kwa sifa kedekede na kuwadhoofisha wapinzani wake akiwemo "Baba levo" ya kwamba wakae mbali na yeye kwasababu Amesoma kuwazidi,huwa anaenda mbali zaidi na kudai anazo Degree mbili!

Binafsi nimekuwa na mashaka na maneno yake kwasababu vitu ambavyo anafanya ni kama hata hao anaowasema kila siku kwamba anawazidi elimu waweza wakawa wanamzidi uelewa wa mambo na akili Kwa Ujumla wake(IQ)!

Nimezidi kupata mashaka zaidi baada ya kuona kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii jamaa akiwa huko Marekani,jamaa nimemuona akiwa huko anapata taabu sana kuongea Kiingereza hata Kwa dakika zisizozidi mbili!

Siyo kwamba nakitukiza Kiingereza wakuu,Binafsi naamini Kiingereza ni Lugha kama zilivyo Lugha nyingine na binafsi naamini kabisa Kusoma sana siyo kukielewa Kiingereza sana!

Ki Bongo bongo tunaamini mtu aliyefika levo za juu za elimu ni lazima angalau aweze kuzungumza Kiingereza angalau ukaeleweka Kwa watu,kwasababu unapoanza form six hadi chuo,masomo mengi ni Lugha ya Kiingereza na ukiacha hata masomo,debate zote huwa inatumika Lugha ya Kiingereza Ili kuwajengea wasomo hao kujiamini na kujieleza!,Pia huko vyuoni utakutana na watu kutoka mataifa mbalimbali hata shule mbalimbali wanaokifahamu Kiingereza Kwa ufasaha,hivyo na wewe utalazimika kufahamu angalau hata kidogo Cha kujieleza!

Binafsi nimesoma hadi form 6 tena sikuchukua masomo ya Arts,Mimi nilichaguliwa Kusoma mchepuko wa Sayansi (PCB),Lakini pamoja na yote ninakifahamu Kiingereza japo Cha kujieleza na nikaeleweka hata mbele ya watu!

Naendelea kushangaa namna jamaa ambavyo haelewi hata kujieleza mbele ya watu huko Marekani na nabaki kumshangaa!

Je,wanaomjua jamaa,ni kweli anamiliki digrii mbili?,Hizo digrii jamaa alizipataje?,Au huwa anatania tu mitandaoni Ili watu wamuone kasoma?

Kuna mahali nimemuona anamuhoji mzungu,nikabaki kujiuliza maswali mengi sana!

MWIJAKU "How are you from?"

Mzungu "Eeeh what!?"

Mwijaku "How are you from"

Mzungu " I am from ........."

Bila shaka mzungu aliamua kujiongeza maana aliona kabisa jamaa hajui Lugha!

Sasa,swali nalojiuliza Ina maana Msomi wa chuo kikuu anayemiliki digrii 2 anashindwa kuuliza "Where are you from?"

Mbona napata mashaka sana na elimu yetu!🤔
Mbona haukumshangaa Bwana yuleee entrepreneurship na alikuwa PhD holder !.
 
Umaarufu wake unatokana na kujadiliwa sana, hata humu ana IDs zake ambaze hupenda kujifungulia nyuzi akijiponda. Watu wanaweza wakadhani hata hiyo ID yako ni yeye.
 
Mkuu Kuwa na heshima kidogo,kwamba hii ID yangu yawezekana ikawa Niya huyo Maparang'ang'a?

Akili yangu ya form 6 huyo mwehu haingii hata robo!
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform mbalimbali za mitandao ya kijamii akijinadi Kwa sifa kedekede na kuwadhoofisha wapinzani wake akiwemo "Baba levo" ya kwamba wakae mbali na yeye kwasababu Amesoma kuwazidi,huwa anaenda mbali zaidi na kudai anazo Degree mbili!

Binafsi nimekuwa na mashaka na maneno yake kwasababu vitu ambavyo anafanya ni kama hata hao anaowasema kila siku kwamba anawazidi elimu waweza wakawa wanamzidi uelewa wa mambo na akili Kwa Ujumla wake(IQ)!

Nimezidi kupata mashaka zaidi baada ya kuona kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii jamaa akiwa huko Marekani,jamaa nimemuona akiwa huko anapata taabu sana kuongea Kiingereza hata Kwa dakika zisizozidi mbili!

Siyo kwamba nakitukiza Kiingereza wakuu,Binafsi naamini Kiingereza ni Lugha kama zilivyo Lugha nyingine na binafsi naamini kabisa Kusoma sana siyo kukielewa Kiingereza sana!

Ki Bongo bongo tunaamini mtu aliyefika levo za juu za elimu ni lazima angalau aweze kuzungumza Kiingereza angalau ukaeleweka Kwa watu,kwasababu unapoanza form six hadi chuo,masomo mengi ni Lugha ya Kiingereza na ukiacha hata masomo,debate zote huwa inatumika Lugha ya Kiingereza Ili kuwajengea wasomo hao kujiamini na kujieleza!,Pia huko vyuoni utakutana na watu kutoka mataifa mbalimbali hata shule mbalimbali wanaokifahamu Kiingereza Kwa ufasaha,hivyo na wewe utalazimika kufahamu angalau hata kidogo Cha kujieleza!

Binafsi nimesoma hadi form 6 tena sikuchukua masomo ya Arts,Mimi nilichaguliwa Kusoma mchepuko wa Sayansi (PCB),Lakini pamoja na yote ninakifahamu Kiingereza japo Cha kujieleza na nikaeleweka hata mbele ya watu!

Naendelea kushangaa namna jamaa ambavyo haelewi hata kujieleza mbele ya watu huko Marekani na nabaki kumshangaa!

Je,wanaomjua jamaa,ni kweli anamiliki digrii mbili?,Hizo digrii jamaa alizipataje?,Au huwa anatania tu mitandaoni Ili watu wamuone kasoma?

Kuna mahali nimemuona anamuhoji mzungu,nikabaki kujiuliza maswali mengi sana!

MWIJAKU "How are you from?"

Mzungu "Eeeh what!?"

Mwijaku "How are you from"

Mzungu " I am from ........."

Bila shaka mzungu aliamua kujiongeza maana aliona kabisa jamaa hajui Lugha!

Sasa,swali nalojiuliza Ina maana Msomi wa chuo kikuu anayemiliki digrii 2 anashindwa kuuliza "Where are you from?"

Mbona napata mashaka sana na elimu yetu!🤔
Jina lake halisi nasikia ni Burton Mwemba mtoto wa Sheikh mkubwa Kigoma.
 
Li Mwijaku halijui Kiingereza hata kile cha basic ambacho mhitimu wa chuo kikuu anatakiwa akifahamu.
 
Back
Top Bottom