Huyu mtu atatoka kweli kwa hali ya kawaida?!

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
731
Reaction score
2,707
Inatamausha mno kwa namna hali ilivyo. Inafikirisha vilevile kushuhudia hayo yawayo

Hofu yangu, huyu ndugu ataondoka kweli kwa utaratibu uliozoeleka?

Binafsi sioni akiondoka ki kawaida. Pengine namkosea Mungu, lakini ni muhimu kujiandaa kwa lolote

Dalili zi wazi, huyu ndugu atataka kuongoza tena na tena. Acha mda utasema.
 
Akilazimisha yatamkuta makubwa kuliko yale yaliyopita.
 
Hakuna kitu kitatokea mkuu. Watanganyika tumepatikana tunauzwa na Watanganyika wenzetu
Time will tell. Kuna watu waneshakata tamaa. Wapo wanasubiri huo muda ufike.
 
Kuondoka ataondoka maana, mtandao ulishaandaa mrithi wake. Hizi sarakasi za kuumiza vichwa ni huku kwetu uraiiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…