Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Sema kitumbua anakitafuna vyema tu ππππLakini mmmmhView attachment 2576700Madem huwa hatupendi short
Kwani hupendi wafupi wwSikujua kama ni mfupi kiias hiki
Mmmh kweli??Sema kitumbua anakitafuna vyema tu ππππ
Yeah wanakwambia mwanaume ni pesa vingine vitajiongeza vyenyewe ππMmmh kweli??
Hiij voting ya mom na nope ni ya nn π€Lakini mmmmhView attachment 2576700Madem huwa hatupendi short
Bila mshipa??Yeah wanakwambia mwanaume ni pesa vingine vitajiongeza vyenyewe ππ
FungukaHiij voting ya mom na nope ni ya nn π€
Kevin hart ni mfupi kweli sio viatu wala nnOoh au huyo dada kavaa heels π inch 6π
Utajiongeza wenyewe πππBila mshipa??
Ok, here's a good comedian π ufupi hauna shida atatumia hata ngazi or meza ili amfikie babe wake for a kissπKevin hart ni mfupi kweli sio viatu wala nn
For sure ila wanawake mna chuki sana na wanaume wafupi i don't know why π€Ok, here's a good comedian π ufupi hauna shida atatumia hata ngazi or meza ili amfikie babe wake for a kissπ
Wala si chuki kwani wamejiumba wawe wafupi? Muhimu kupendana, mengine mbwembwe tu.For sure ila wanawake mna chuki sana na wanaume wafupi i don't know why π€