Huyu mtu kumbe ni mfupi

Huyu mtu kumbe ni mfupi

Kelvin hart mfupiii? Ujaniona mimi sio
Umeona iko kifungo chake cha kwanza kutoka kiunoni?
Hapo ndo utosi wangu unaishia
 
Ni kama vile wanaume mnavyotunanga wadada tusio na matacco makubwa basi na sie wengi hatuvutiwi na wanaume wafupi. Sio chuki ni vile tunachagua vinavyotuvutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli mwanamke bila 👇👇👇👇 hufai kuitwa mrembo 😁😁😁😁😁👁️😁😁
1680758873365.jpg
 
Back
Top Bottom