Huyu Mwalimu alini motiveti na kuni INSPAYA sana

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,085
Reaction score
15,197
Enzi zetu kupata kazi kama umesoma haikuwa '' a big deal''...sasa watu wengi walikuwa na maringo ya kuchagua mikoa ya kufanya kazi....kuna baadhi ya maeneo mtu akipangwa na kazi anaacha kabisa kabisa.

Sasa huyu ni Mwalimu wa shule ya msingi akapangiwa kwenda kufundisha mkoani halafu kijijini nyumba za tope ila zimepauliwa kwa nyasi,

Nakumbuka nilikwenda kumtembelea huko pembezoni ndani ndani kimtindo .

Kwanza kulikuwa na changaoto ya usafiri pia kulikuwa na ukosefu wa bidhaa mbali mbali...lakini mazao yalikuwa yanastawi sana,

Kwa kifupi mwalimu akaingia shamba na kampani kubwa ni wanafunzi manake jamii husika ilimkubali.

Mwalimu akafungua Duka la jumla na reja reja
Mwalimu akafungua mashine ya kusaga
Mwalimu akafungua Guest

Mwalimu akawa na mabasi ya kwenda town ofcoz akanunua na malori na matrekita
Mwalimu ana nyumba nyingi sana ameweka wapangaji
Mwalimu amestaaafu

Wale aliosoma nao ualimu na kuchagua maeneo ya kufundishia wengi wanakwenda kumtembelea na kumshangaa ofcoz na kupunguza stress na kula mbili tatu na kulala kwenye guest ya mwalimu mwenzao.

Anyway riziki popote
 
Ujumbe murua
 
Niko bush moja la dodoma huku kuna mwalimu nimemkuta kama huyo tena ni wa kike , ana maduka 2 ya jumla na reja reje, ana baa ana Gest ana kenta 2 ,ana trecta 1, ana lijumba likubwa unaweza dhani anakaa labda mmbunge kumbe ni ticha manka tu ,hafikishi hata miaka 40 .na kufundisha anafundisha kama kawaida.
 
Back
Top Bottom