Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu?

Huwa anaishije?
Huyu mwalimu baada ya makato yote hayo anabaki na Tshs. 567,082.33 ambayo ni kubwa sana juu ya kima cha chini cha Taifa. Huyu anatoboa vizuri tu.

Ila kwa nn amekopa kopa sana maeneo tofauti? Angekuwa na mkopo sehemu moja tu apunguze stress
 
Dah! Kwa kweli anahitaji ushauri. Na inakuwaje DED apitishe mikopo yate hiyo bila kumshauri mtumishi wake? wajuvi wa mambo wanasema hv: "Mbwa akikonda sio aibu kwa mbwa bali ni aibu kwa mwenye mbwa".
 
Hapo lazima Kakopa pesa nyingi anaishi kwa kuendesha biashara zake ajira ni dhamana yake tu hapo na siyo kazi anayoitegemea kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…