Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Ni kweli lakini kama hana majukumu mengine e.g. kusomesha watoto,kodi ya pango malipo ya bill za maji, bill ya umeme(Luku) na haendekezi yale mambo yetuKama hajavuka 1/3 ya mshahara anakopa tu

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli lakini kama hana majukumu mengine e.g. kusomesha watoto,kodi ya pango malipo ya bill za maji, bill ya umeme(Luku) na haendekezi yale mambo yetuKama hajavuka 1/3 ya mshahara anakopa tu

Kiufupi anatembea na nchi mfukoni mwake, maana siyo kwa idadi hiyo ya ajira alizogawa kwa watumishi wa benki na micro finance 😂😂...anastahili pongezi.Kazi ipo.![]()
Aiseeeee 😂🙌😂🙌😂🙌😂Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu?
Huwa anaishije?
View attachment 2987042
Kufa kufaana.Kiufupi anatembea na nchi mfukoni mwake, maana siyo kwa idadi hiyo ya ajira alizogawa kwa watumishi wa benki na micro finance 😂😂...anastahili pongezi.
Mbona Kuna walimu wanalipwa mshahara huo,uyo mwalimu na yupo apa jf tunamjuaHuo mshahara mkubwa mno huyo siyo mwalimu
Wanakopa kuna salary slip zina virakaDuh amezaje kukopa hivyo ile rule ya 1/3 haifanyi kazi?
Umeona CWT hapo , chama cha walimu.Huo mshahara mkubwa mno huyo siyo mwalimu
Kwa madeni hayo hawezi kuchomoka kweny hiyo kazi maana anajifunga.Kuajiriwa ni utumwa
🤣🤣jamaniMama mama mama
Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu?
Huwa anaishije?
View attachment 2987042
Pengine ana miradi alioanzisha kwa hiyo mikopo inamuingizia kipato.Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu?
Huwa anaishije?
View attachment 2987042
Mke wa Dr?Mbona Kuna walimu wanalipwa mshahara huo,uyo mwalimu na yupo apa jf tunamjua
Nakubaliana na wewe wame edit.Hii ni edited huwezi kukopa mikopo mingi hivyo na yote ukapewa..
Umekariri vibayaHuo mshahara mkubwa mno huyo siyo mwalimu
Tupe uzoefu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anadanga benki au???[emoji81][emoji81]
Tupe wewe 🤣🤣🤣
Hata pay as you earn nayo imenishtua, sijajua ni asilimia ngapi wanakatwa hawa waalimu maana haiendani na basic pay.Hii ni edited huwezi kukopa mikopo mingi hivyo na yote ukapewa..