Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

Kama hajavuka 1/3 ya mshahara anakopa tu
Ni kweli lakini kama hana majukumu mengine e.g. kusomesha watoto,kodi ya pango malipo ya bill za maji, bill ya umeme(Luku) na haendekezi yale mambo yetu
 
Hii ni edited huwezi kukopa mikopo mingi hivyo na yote ukapewa..
Nakubaliana na wewe wame edit.
Mkopo wa NBC wa zaidi ya elfu kumi na tatu kwa makato wa Tsh elfu kumi kwa mwezi!!!!!
Ataumaliza baada ya miaka mingapi?
 
Huyo ni mwalimu mkongwe kulingana na hiyo salary. Atakuwa anaishi poa tu kwasababu hapo take home kama laki 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…