aimi lyatuu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 742
- 796
Nadhani alikuwa HGL ila alijaribu kufanya math ya form 2 kwa vile wote huipitia; akashindwa kumfundiha vizuri mahesabu ya Interest rates.Bila shaka PCM. Then akajiongeza/akaombwa kufundisha English kwa kuwa labda hakukuwa na waalimu
Aliyesoma HGL hawezi kusogea kufundisha Mathematics
Unasema???Bila shaka PCM. Then akajiongeza/akaombwa kufundisha English kwa kuwa labda hakukuwa na waalimu
Aliyesoma HGL hawezi kusogea kufundisha Mathematics
Tafuta tahsusi ya Newton au keyness...tahsusi hubadilika kulingana na wakati,siyo pcm toka shule zilipoanzaKwa walimu wa sampuli hiyo,inaakisi matokeo ya upande wa pili wa muungano.
Hiyo ni "Goli kona" hakuna tahasusi hapo.