Huyu mwalimu wa Rais Samia alisomea combination gani?

Huyu mwalimu wa Rais Samia alisomea combination gani?

Umri wa kustaafu uwekwe wazi mwakatozo ni 50+
Mwalimu wake atakuwa na age gani...na feel badi kuwa mtz
 
Bila shaka PCM. Then akajiongeza/akaombwa kufundisha English kwa kuwa labda hakukuwa na waalimu

Aliyesoma HGL hawezi kusogea kufundisha Mathematics
Nadhani alikuwa HGL ila alijaribu kufanya math ya form 2 kwa vile wote huipitia; akashindwa kumfundiha vizuri mahesabu ya Interest rates.
 
Kwanza ifahamike wazee waliosoma Pre Revolution era masomo ya English kama English na Maths yalikuwa ni Compulsary. Kwa hiyo karibu wanafunzi wote waliomaliza O level at the time, were damn pretty good at those two majors!
 
Bila shaka PCM. Then akajiongeza/akaombwa kufundisha English kwa kuwa labda hakukuwa na waalimu

Aliyesoma HGL hawezi kusogea kufundisha Mathematics
Unasema???
Kwanini asiweze kufundisha mathematics??
Madogo kibao sasa hivi walichagua maaomo ya sayansi ila wamepelekwa kusomea masomo ya sanaa, kwahiyo sio kua hawawezi sayansi ila ni vile serikali yao imewaamulia hivyo.
Kuna uzi humu mzazi analalamika mwanae alitaka kua PCB nadhan ila kapelekwa HKL wakati wala hakuichagua.
 
Sifahamu hivi mwanafunzi huangaliwa mwenendo wake kutokana na mwalimu au vipi? Sasa hivi ndiye mwalimu wake wa English
 
Kwa walimu wa sampuli hiyo,inaakisi matokeo ya upande wa pili wa muungano.

Hiyo ni "Goli kona" hakuna tahasusi hapo.
Tafuta tahsusi ya Newton au keyness...tahsusi hubadilika kulingana na wakati,siyo pcm toka shule zilipoanza
 
Back
Top Bottom