alikuwa analilia wanaye wataishije sasaMlinzi wa magufuli kipindi hicho alilia sana kwenye msiba wa hayati rais magufuli
Ninaamini kwamba huyu mlinzi anajua kila kitu kuhusu kifo cha magufuli sema anahofia uhai wake.
Kwenye picha huyo wa kushoto alievalia suti.
Huyu ndo mlinzi sasa nilikua napenda zile move zake akiwa na RaisiMlinzi wa magufuli kipindi hicho alilia sana kwenye msiba wa hayati rais magufuli
Ninaamini kwamba huyu mlinzi anajua kila kitu kuhusu kifo cha magufuli sema anahofia uhai wake.
Kwenye picha huyo wa kushoto alievalia suti.
sio kwamba yupo nida?Itakuwa alikimbilia nje wangepita nae huyu
Shangaa!!Ulitaka acheke?