mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
😄Kajiunga na kampuni moja ya ulinzi ya kimaasai,analipwa 60,000 kwa mwezi😊😊
Ova
😄Kajiunga na kampuni moja ya ulinzi ya kimaasai,analipwa 60,000 kwa mwezi😊😊
Kuna mtu kaniambia sahv ni dso mpwapwKajiunga na kampuni moja ya ulinzi ya kimaasai,analipwa 60,000 kwa mwezi😊😊
Asipofanya hivyo atakufa njaaKajiunga na kampuni moja ya ulinzi ya kimaasai,analipwa 60,000 kwa mwezi😊😊
Hata mimi Mwamba alikuwa mtu wa Tatu katika maisha yangu kunifanya nimlilie, wengine wakiwa ni wazazi wangu tu. Tuliomlilia tulikuwa wengi !Ulitaka acheke?
Kikimfikia huyo ndipo atajua kuwa si Kifo siyo jambo la Kawaida tu !chawa pro max
Kuna wilaya moja alipangiwa yupoSijuwi yuko wapi sahv
Ova
Acha ujinga wenu, Huyu alikuwa ni mwajiriwa wa Serikali na alikuwa kwenye pay roll na secure Job yenye Pensheni, siyo kama ni nyinyi Kazi yenu ya Uchawa hamna Mikataba na mnalipwa vichenji vya kutokea mifukoni mwa Wakubwa zenu . Huyu mwamba alikuwa na Ajira ya kudumu , hiyo ya Ulinzi wa Rais ni sehemu ya Majukumu aliayokuwa amepangia, Yeyey ni Government employee huwezi terminate employment yake hata kama assignment aliyokuwa amepangiwa imeisha, Kinachofanyika ni re-assignment in other areas within the system. Dont be Fool. Ajira za serikali si mali ya huyo Master wenu mnayemtukuza kama Mungu wenu ! Usitufanye wajinga wenzio.Asipofanya hivyo atakufa njaa
Dogo alikua na feelings sana,kifo kilimgusa kwelikweli.hyo picha ya dogo ilinigusaga sana
Tupo nae mpwapwa huku DSO.Kuna wilaya moja alipangiwa yupo