Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema.
Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija.
Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson Mandela, Thabo Mberk, Ramaphosa, Siasa za Hoja na misingi za kina Patrice Lumumba, Ahmed Sekouture, Samu Nujoma, Edwado De Santos, siasa za kina Tom Mboya, Yower Kaguta Mseveni na kina Mwl Nyerere.
Kiukweli ulikuwa mjadala unaofanana na zile enzi za UDSM ya Zamani, enzi za kina Prof Shivji, Prof Mark Mwandosya, Dr Harrison Mwakyembe, Mh Mkono, Mh Adv John Chenge.
Kwa vijana wa kileo nitawakumbusha tu kizazi cha wanasiasa bora walioibuka hivi karibuni chakina
1. Dr Mwigulu Nchemba
2. Lazaro Nyarandu
3.Nape Nauye
4.JJ Mnyika
5. Tundu Lissu
6. Zitto Kabwe
7. Akina Halima Mdee, Esta Matiko n.k
8. Bila kumsahau Ndugu Paul Christian Makonda RC wa Sasa Arusha.
Mazungumzo ya jana yaliyokaribisha wanazuoni Kutoka Vyuo Mbali mbali Afrija mashariki na Duniani kote yamefufua ari mpya na hamasa ha siasa na ulezi wa wanasiasa bora.
Msemaji Mkuu akiwa Mh Tundu Lissu alitupitisha ktk historia nzito ya kisiasa za Afrika na mabara ya Ulaya.
Tundu Lissu alitumia muda wake vyema, moja ya jambo alilonifurahisha zaidi ni pale alipomwagia Sifa kede Kede Hayati Mwl Juliu Nyerere kuwa Kiongozi Mahiri wa Wakati Wake( Great Man of his Times) kama Mwanaharakati wa Siasa na Sera za Kimataifa. Alimsema kama Mwanasiaaa asiye na tamaa, Mwadilifu, Mkweli na anayependa Mijadala ya Kielimu.
Sasa wakati wa Maswali na Majibu vijana wa Uganda walionesha umakini na umahiri Mkubwa ktk Kujenga Maswali yenye Hoja.
Huyu Kijana Wetu aliyejitambulisha kama Kijana kutoka Dar Es Salaam Temeke alituaibisha sana. Ameshindwa kutuwakilisha vyema.
Aliuliza Swali Gani?
" Tundu Lissu as Chadema politica Leader you failed Tanzanians and people of Dar Es Salaam by accepting Edward Ngoyai Lowasa to be your Contestant of Presidencial post 2015. You failed Tanzanians? Why?
😅😅😅😅
Mambo mengine inabidi ucheke. Unajiuliza huyu alikuwemo kwenye kwenye ile Hall ya Mjadara? Amekuwaje akakosa umakini kiasi hiki hadi akaongelea vitu ambavyo havipo kwenye mazungumzo?
Vinana wa Tanzania Tuwe Serious, Mwanasheria unatakiwa uwe bora zaidi na sio kwa Kiwango kile.
You Failed Us My Friend.