Hahahaha kila kitu cha mama bado mkwe wa mamaMtanzania anajulikana dunia nzima View attachment 3262454
wacha ujinga Lisu hakumpamba tu Nyerere bali alimkosoa pia kwenye issue ya constitutionalism yaani kutengeneza taasisi inayolinda imperial presidential government na pia kukosoa mchakato wa canonization unaofanywa na kanisa Catholic na kusisitiza alikuwa binadamu mwanasiasa hawezi kuitwa mtakatifu!Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema.
Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija.
Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson Mandela, Thabo Mberk, Ramaphosa, Siasa za Hoja na misingi za kina Patrice Lumumba, Ahmed Sekouture, Samu Nujoma, Edwado De Santos, siasa za kina Tom Mboya, Yower Kaguta Mseveni na kina Mwl Nyerere.
Kiukweli ulikuwa mjadala unaofanana na zile enzi za UDSM ya Zamani, enzi za kina Prof Shivji, Prof Mark Mwandosya, Dr Harrison Mwakyembe, Mh Mkono, Mh Adv John Chenge.
Kwa vijana wa kileo nitawakumbusha tu kizazi cha wanasiasa bora walioibuka hivi karibuni chakina
1. Dr Mwigulu Nchemba
2. Lazaro Nyarandu
3.Nape Nauye
4.JJ Mnyika
5. Tundu Lissu
6. Zitto Kabwe
7. Akina Halima Mdee, Esta Matiko n.k
8. Bila kumsahau Ndugu Paul Christian Makonda RC wa Sasa Arusha.
Mazungumzo ya jana yaliyokaribisha wanazuoni Kutoka Vyuo Mbali mbali Afrija mashariki na Duniani kote yamefufua ari mpya na hamasa ha siasa na ulezi wa wanasiasa bora.
Msemaji Mkuu akiwa Mh Tundu Lissu alitupitisha ktk historia nzito ya kisiasa za Afrika na mabara ya Ulaya.
Tundu Lissu alitumia muda wake vyema, moja ya jambo alilonifurahisha zaidi ni pale alipomwagia Sifa kede Kede Hayati Mwl Juliu Nyerere kuwa Kiongozi Mahiri wa Wakati Wake( Great Man of his Times) kama Mwanaharakati wa Siasa na Sera za Kimataifa. Alimsema kama Mwanasiaaa asiye na tamaa, Mwadilifu, Mkweli na anayependa Mijadala ya Kielimu.
Sasa wakati wa Maswali na Majibu vijana wa Uganda walionesha umakini na umahiri Mkubwa ktk Kujenga Maswali yenye Hoja.
Huyu Kijana Wetu aliyejitambulisha kama Kijana kutoka Dar Es Salaam Temeke alituaibisha sana. Ameshindwa kutuwakilisha vyema.
Aliuliza Swali Gani?
" Tundu Lissu as Chadema politica Leader you failed Tanzanians and people of Dar Es Salaam by accepting Edward Ngoyai Lowasa to be your Contestant of Presidencial post 2015. You failed Tanzanians? Why?
π π π π
Mambo mengine inabidi ucheke. Unajiuliza huyu alikuwemo kwenye kwenye ile Hall ya Mjadara? Amekuwaje akakosa umakini kiasi hiki hadi akaongelea vitu ambavyo havipo kwenye mazungumzo?
Vinana wa Tanzania Tuwe Serious, Mwanasheria unatakiwa uwe bora zaidi na sio kwa Kiwango kile.
You Failed Us My Friend.
Tangu lini uvccm anaakiliRamadhan Kareem, Kwaresma Njema.

Mku huu uzi haujaongelea chama chochoteTangu lini uvccm anaakili
Karibu kwenye mjadalawacha ujinga Lisu hakumpamba tu Nyerere bali alimkosoa pia kwenye issue ya constitutionalism yaani kutengeneza taasisi inayolinda imperial presidential government na pia kukosoa mchakato wa canonization unaofanywa na kanisa Catholic na kusisitiza alikuwa binadamu mwanasiasa hawezi kuitwa mtakatifu!
Mkuu hii sio mada ya leoNape Nauye Huyu ambaye inadaiwa kule nchini india akiwa anasoma alinenepea rosti zenye mafuta mengi na chapati za jibini.
Uko sahihiUjue kuna muda umri sio kigezo cha kuitwa mzee legacy ambayo unakua umeacha pia inaweza fanya ukaitwa mzee mapemaπkwangu mimi acha TAL nimuite mzee amefanya makubwa katika nchi hii
Ingekuwa mimi kwenye uhakiki wa vitabu nib
Ngesema TAL ni mfano wa kuigwa
Ametufunza ni nini maana ya msimamo kwa miaka zaidi ya 30π
π π πTAL SIO Kijana unamkosea heshima
Mzee lisuπ€
Hehehe......kwanini?Naona huenda alitumwa na Makalla!
YOU FAILED US!
Sasa si afadhali wangemtuma Dk.Msukuma?
umefeli wewe maana kauliza swali amablo hukupenda lissu aulizweRamadhan Kareem, Kwaresma Njema.
Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija.
Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson Mandela, Thabo Mberk, Ramaphosa, Siasa za Hoja na misingi za kina Patrice Lumumba, Ahmed Sekouture, Samu Nujoma, Edwado De Santos, siasa za kina Tom Mboya, Yower Kaguta Mseveni na kina Mwl Nyerere.
Kiukweli ulikuwa mjadala unaofanana na zile enzi za UDSM ya Zamani, enzi za kina Prof Shivji, Prof Mark Mwandosya, Dr Harrison Mwakyembe, Mh Mkono, Mh Adv John Chenge.
Kwa vijana wa kileo nitawakumbusha tu kizazi cha wanasiasa bora walioibuka hivi karibuni chakina
1. Dr Mwigulu Nchemba
2. Lazaro Nyarandu
3.Nape Nauye
4.JJ Mnyika
5. Tundu Lissu
6. Zitto Kabwe
7. Akina Halima Mdee, Esta Matiko n.k
8. Bila kumsahau Ndugu Paul Christian Makonda RC wa Sasa Arusha.
Mazungumzo ya jana yaliyokaribisha wanazuoni Kutoka Vyuo Mbali mbali Afrija mashariki na Duniani kote yamefufua ari mpya na hamasa ha siasa na ulezi wa wanasiasa bora.
Msemaji Mkuu akiwa Mh Tundu Lissu alitupitisha ktk historia nzito ya kisiasa za Afrika na mabara ya Ulaya.
Tundu Lissu alitumia muda wake vyema, moja ya jambo alilonifurahisha zaidi ni pale alipomwagia Sifa kede Kede Hayati Mwl Juliu Nyerere kuwa Kiongozi Mahiri wa Wakati Wake( Great Man of his Times) kama Mwanaharakati wa Siasa na Sera za Kimataifa. Alimsema kama Mwanasiaaa asiye na tamaa, Mwadilifu, Mkweli na anayependa Mijadala ya Kielimu.
Sasa wakati wa Maswali na Majibu vijana wa Uganda walionesha umakini na umahiri Mkubwa ktk Kujenga Maswali yenye Hoja.
Huyu Kijana Wetu aliyejitambulisha kama Kijana kutoka Dar Es Salaam Temeke alituaibisha sana. Ameshindwa kutuwakilisha vyema.
Aliuliza Swali Gani?
" Tundu Lissu as Chadema politica Leader you failed Tanzanians and people of Dar Es Salaam by accepting Edward Ngoyai Lowasa to be your Contestant of Presidencial post 2015. You failed Tanzanians? Why?
π π π π
Mambo mengine inabidi ucheke. Unajiuliza huyu alikuwemo kwenye kwenye ile Hall ya Mjadara? Amekuwaje akakosa umakini kiasi hiki hadi akaongelea vitu ambavyo havipo kwenye mazungumzo?
Vinana wa Tanzania Tuwe Serious, Mwanasheria unatakiwa uwe bora zaidi na sio kwa Kiwango kile.
You Failed Us My Friend.
nikaribie wakati hata hujamuelewa Lisu alichoongea pamoja na mifano chungu nzima juu ya his unconstitutionalism and disregard of bill of Rights!Karibu kwenye mjadala
Hilo swali lake na mada mezani ilikuwa mbingu na nchiumefeli wewe maana kauliza swali amablo hukupenda lissu aulizwe
Nakazia mkuu. CCM hawana akili popote wanapokuqa hata wakibahatika kwenda mbinguni hamna kituHuyo ni UVCCM hana akili kama wenzake akina Lucas Mwashambwa
Huyu ni wale wale UVCCMπRamadhan Kareem, Kwaresma Njema.
Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija.
Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson Mandela, Thabo Mberk, Ramaphosa, Siasa za Hoja na misingi za kina Patrice Lumumba, Ahmed Sekouture, Samu Nujoma, Edwado De Santos, siasa za kina Tom Mboya, Yower Kaguta Mseveni na kina Mwl Nyerere.
Kiukweli ulikuwa mjadala unaofanana na zile enzi za UDSM ya Zamani, enzi za kina Prof Shivji, Prof Mark Mwandosya, Dr Harrison Mwakyembe, Mh Mkono, Mh Adv John Chenge.
Kwa vijana wa kileo nitawakumbusha tu kizazi cha wanasiasa bora walioibuka hivi karibuni chakina
1. Dr Mwigulu Nchemba
2. Lazaro Nyarandu
3.Nape Nauye
4.JJ Mnyika
5. Tundu Lissu
6. Zitto Kabwe
7. Akina Halima Mdee, Esta Matiko n.k
8. Bila kumsahau Ndugu Paul Christian Makonda RC wa Sasa Arusha.
Mazungumzo ya jana yaliyokaribisha wanazuoni Kutoka Vyuo Mbali mbali Afrija mashariki na Duniani kote yamefufua ari mpya na hamasa ha siasa na ulezi wa wanasiasa bora.
Msemaji Mkuu akiwa Mh Tundu Lissu alitupitisha ktk historia nzito ya kisiasa za Afrika na mabara ya Ulaya.
Tundu Lissu alitumia muda wake vyema, moja ya jambo alilonifurahisha zaidi ni pale alipomwagia Sifa kede Kede Hayati Mwl Juliu Nyerere kuwa Kiongozi Mahiri wa Wakati Wake( Great Man of his Times) kama Mwanaharakati wa Siasa na Sera za Kimataifa. Alimsema kama Mwanasiaaa asiye na tamaa, Mwadilifu, Mkweli na anayependa Mijadala ya Kielimu.
Sasa wakati wa Maswali na Majibu vijana wa Uganda walionesha umakini na umahiri Mkubwa ktk Kujenga Maswali yenye Hoja.
Huyu Kijana Wetu aliyejitambulisha kama Kijana kutoka Dar Es Salaam Temeke alituaibisha sana. Ameshindwa kutuwakilisha vyema.
Aliuliza Swali Gani?
" Tundu Lissu as Chadema politica Leader you failed Tanzanians and people of Dar Es Salaam by accepting Edward Ngoyai Lowasa to be your Contestant of Presidencial post 2015. You failed Tanzanians? Why?
π π π π
Mambo mengine inabidi ucheke. Unajiuliza huyu alikuwemo kwenye kwenye ile Hall ya Mjadara? Amekuwaje akakosa umakini kiasi hiki hadi akaongelea vitu ambavyo havipo kwenye mazungumzo?
Vinana wa Tanzania Tuwe Serious, Mwanasheria unatakiwa uwe bora zaidi na sio kwa Kiwango kile.
You Failed Us My Friend.
Eti na kizazi cha kuteka teka nacho kakipa promo !Nape Nauye Huyu ambaye inadaiwa kule nchini india akiwa anasoma alinenepea rosti zenye mafuta mengi na chapati za jibini.
Imebidi nianze kumkumbuka nape alivyokuwa indiaEti na kizazi cha kuteka teka nacho kakipa promo !
Alitakiwa aishie kule kwa akina Shivji na wenzake Angalau !
Hoja yake huenda ikawa nzuri ila ka orodhesha watu wa ajabu ajabu eti ni wanasiasaNape Nauye Huyu ambaye inadaiwa kule nchini india akiwa anasoma alinenepea rosti zenye mafuta mengi na chapati za jibini.