Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Asa mbona umeandika kidogo Nawe waelezee sifa zangu wanitambue mimi ni nanii, maana wanajua mimi wa Hivi Hivi enzi Hizo wale guest ilibidi wajiunge jf
Hahaaaaaaa ambaye hakujui bhasi ni new comer au labda hajawahi ingia celeb forum

Una mchango mkubwa kwa celeb forum yaani wewe ni legend kulee ..wasikuchukulie poa kabisa
You are the best in your own way
 
Woooowwwww Hapa hornet Atakuja nichafua usijali hao kina ukhuty wana wivu Wataanza sema wao ni Jamii photos kumbe hata
Asantee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…