Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Hahaaaaaaa ambaye hakujui bhasi ni new comer au labda hajawahi ingia celeb forumAsa mbona umeandika kidogo Nawe waelezee sifa zangu wanitambue mimi ni nanii, maana wanajua mimi wa Hivi Hivi enzi Hizo wale guest ilibidi wajiunge jf
Una mchango mkubwa kwa celeb forum yaani wewe ni legend kulee ..wasikuchukulie poa kabisa
You are the best in your own way