Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Hafu wewe tangu ubadili avator umebadilikaaa.
Ulikua mhudhuriaji mzuri.
Ulikua unamajibu ya faster yenye kufurahisha
Ulikua na utani utani mtam
Ni kweli nimebadilika hata mimi najishangaa. Sijui ni huu utu uzima au ni huu ulokole ninao utamani.
Yaani jukwaa la wakubwa nalipita kama silioni vile, halafu silipendi linanikera mno.
Mods please niondoeni jukwaa la wa kubwa.
.
.
This is so serious!
Cc : Mods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…