Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Emmyta,sky,mzigua 90,espy,dinazarde,heaven sent,Evelyn salt,mumu,numbisa,nahuja ,nalendwa,mbitiyaza,demi,kapeace ,mahondaw,demiss,neybright na wengineo ..nawapenda wote maan tabia hatuwez kufanana!
 
Wallahi ( kwa sauti ya kabila la waha)

Jana baada ya kuangalia game ya Simba, tulishinda goli 4, then Man Utd akakalishwa cha nguruwe, muda uliofata Liverpool ikashinda, basi roho yangu kwatuuu, nikacheki Bongo Movie ikawekwa movie ambapo yumo Braza Kei na mashati yake makubwa, anakosea kufunga vifungo.

Amenichekesha sana jamaa kwa lafudhi yake ya kiha.
 
Huu uzi ni ajili ya kutunanga sie waha...!?
NAHUJA
 
Huyu bidada ni mtaratibu na muelewa sana. Hata mtu akimsemea hovyo huyo anainuka zake bila hata ya kutoa msonyo na kusepa kimya kimya. Hongera sana Best Sky Eclat

Emmyta,sky,mzigua 90,espy,dinazarde,heaven sent,Evelyn salt,mumu,numbisa,nahuja ,nalendwa,mbitiyaza,demi,kapeace ,mahondaw,demiss,neybright na wengineo ..nawapenda wote maan tabia hatuwez kufanana!
Tunakupenda pia mwaaaaaaaaaa
 
Naipenda Simba shabiki wa damu,, raha Sanaa Kuwa simba
 
Kama mimi kachangamfu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…