Love Nuru
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 758
- 1,194
Kwangu papuchi tamu uwakilisha tabia njema...Kwani mleta mada amekwambia anamsifia mwenye papuchi nzuri au mwenye tabia njema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu papuchi tamu uwakilisha tabia njema...Kwani mleta mada amekwambia anamsifia mwenye papuchi nzuri au mwenye tabia njema?
Kazi kweli kweliKwani mleta mada amekwambia anamsifia mwenye papuchi nzuri au mwenye tabia njema?
Wallahi ( kwa sauti ya kabila la waha)
Huu uzi ni ajili ya kutunanga sie waha...!?Jana baada ya kuangalia game ya Simba, tulishinda goli 4, then Man Utd akakalishwa cha nguruwe, muda uliofata Liverpool ikashinda, basi roho yangu kwatuuu, nikacheki Bongo Movie ikawekwa movie ambapo yumo Braza Kei na mashati yake makubwa, anakosea kufunga vifungo.
Amenichekesha sana jamaa kwa lafudhi yake ya kiha.
Huu uzi ni ajili ya kutunanga sie waha...!?
NAHUJA
Ndili muha wu mujini ila bhabha wanje ava mukongoro...Ulu muha wa hehe?
Kumbe we mwoga enh?
Ndili muha wu mujini ila bhabha wanje ava mukongoro...
cocochanel ninalinda mafao ya watoto, hukawii kusikia kuna akiyenunuliwa kiwanja/nyumba
Mie sijambo kama nyie.
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.
Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.
Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).
Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
Tunakupenda pia mwaaaaaaaaaaEmmyta,sky,mzigua 90,espy,dinazarde,heaven sent,Evelyn salt,mumu,numbisa,nahuja ,nalendwa,mbitiyaza,demi,kapeace ,mahondaw,demiss,neybright na wengineo ..nawapenda wote maan tabia hatuwez kufanana!
Naipenda Simba shabiki wa damu,, raha Sanaa Kuwa simbaJana baada ya kuangalia game ya Simba, tulishinda goli 4, then Man Utd akakalishwa cha nguruwe, muda uliofata Liverpool ikashinda, basi roho yangu kwatuuu, nikacheki Bongo Movie ikawekwa movie ambapo yumo Braza Kei na mashati yake makubwa, anakosea kufunga vifungo.
Amenichekesha sana jamaa kwa lafudhi yake ya kiha.
Kama mimi kachangamfu kweliAcha ni kwambie Dina, hatuwezi kuwa wapole wote au wakali wote.
Kutofautina tabia kwetu huleta mvuto kwa mwenye tabia tofauti, ona Nahuja anatamani upole wa Sky lkn mimi ninatamani ubabe na ukali wake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawewe ulivyo kuna watu wanakuzimia balaa, kutofautiana kwetu huleta mvuto
NAHUJA
Najua sanaaaKama mimi kachangamfu kweli
Yaan sifa hizi nimezikosa[emoji3][emoji3]
HeeheeeeNajua sanaaa
Ooooh karibu chane iwachu, Imasanga hejulu ni Shule ya kiislamu (Dr Ablahman Muslim academy a.k.a JUVE)Je muhila ni Gasulo, ili naje ndi mjini.