Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

hahahah, hapana Dina uko namba za mwanzo mwanzo,hahahahahahahahahahahah nimecheka kwa sauti hahahha. ila Dina wewe hahahaah
Halaf mi najuaga we dume kidogo nikuibukie pm Maana sina wa kutoka nae Valentine hii kumbe Tena mwanamke umeniangusha sana

Basi ungeweka na Akina sisi list ya pili ili Labda tutabadilika basilica msituvunje moyo hasa mimi, jestkila na hornet
 
Halaf mi nakula we dume kidogo nikuibukie pm Maana sina wa kutoka nae Valentine hii kumbe Tena mwanamke umeniangusha sana

Basi ungeweka na Akina sisi list ya pili ili Labda tutabadilika basilica msituvunje moyo hasa mimi, jestkila na hornet
Ngoja nikuwekee hawa hapa: Jiwedogo, Tater, Mwifwa Mgibeon Asprin hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…