Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Mbiti hebu niambie mie nna tabia gani humu jf!Mimi Sipo mnanionea wivu
Zile za nje achana nazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbiti hebu niambie mie nna tabia gani humu jf!Mimi Sipo mnanionea wivu
Haya mie sifa yangu kuu ni ipi?Niulize tu. Mi ni babu yenu sina ugomvi na wajukuu
hahhahahaahahahNgoja siku nikuchokoze
Hahhaaa na mie UChokozi ni kipaji Mungu kanijalia
Halaf mi najuaga we dume kidogo nikuibukie pm Maana sina wa kutoka nae Valentine hii kumbe Tena mwanamke umeniangusha sanahahahah, hapana Dina uko namba za mwanzo mwanzo,hahahahahahahahahahahah nimecheka kwa sauti hahahha. ila Dina wewe hahahaah
hahahahahaahaDina akishabwia ugoro huwa anaharibu sana.
Kumbe wewe ni ke?Nakupenda sana tabia yako japo sikujui. Pongezi kwa waliokulea hivyo na mazingira ambayo labda ndio yameku shape kuwa hivyo.
Tulia wewe tangu niende Ethiopia na kuishi miaka miwili siupendi tena ukerewe na ujita....umeelewa go!Nakukesya, waaachaagusu mkaruka
Dahh umesahau Moja napenda sana na.........Wewe una sifa ya ulevi na umbea
Wew huwezi busara zako nazijuw vizuri sanaNgoja siku nikuchokoze
Hahhaaa na mie UChokozi ni kipaji Mungu kanijalia
Mimi mvumilivu ona nilivyokuwa tu,, Ndio ujue hata eskylat hanifikiiNilitamani kuuliza ila nawaza jibu nitakalopewa
Ngoja nikuwekee hawa hapa: Jiwedogo, Tater, Mwifwa Mgibeon Asprin hahahahahHalaf mi nakula we dume kidogo nikuibukie pm Maana sina wa kutoka nae Valentine hii kumbe Tena mwanamke umeniangusha sana
Basi ungeweka na Akina sisi list ya pili ili Labda tutabadilika basilica msituvunje moyo hasa mimi, jestkila na hornet
Kumbe tunawaza sawa mkuuMimi nilizani Emyta, any way hata sky naye yupo vizuri.
Hapana Siku zingine huandika vice versaLabda bao bonye lake linaleta shida
Hahahaaaa uuuMimi mvumilivu ona nilivyokuwa tu,, Ndio ujue hata eskylat hanifikii