Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kwa hiyo mtani wewe ni Mnunua ugomvi?? wacha weee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una sifa ya ulevi na umbeaNilijuaa nasifiwa mimi ,sifa hizi zitatuua, Kwa hiyo NAHUJA mi Nashuka namba ngapi vile, au Ndio nipo Kwenye zile sifa za wanaotukana sana
Wallahi ( kwa sauti ya kabila la waha)Usione vyaelea... vimeundwa!
Nilitamani kuuliza ila nawaza jibu nitakalopewaWewe una sifa ya ulevi na umbea
Yaan coco hivi we ni MTZ? Siku zingine unaandika sijui maniniSky mjanja sana maandishi yake akiamua
Ila wajanja twayanyaka pwaaaa
Dawa Asprin iwe mtu
Mchati kwa posts na kuchekeana
Vidongo vyake eeeeeh.. na siku mmmh alimpaka mmmmh live kisa chati chati na wabebez eeeeeh
Mengi tunayaona burudani JF
Labda bao bonye lake linaleta shidaYaan coco hivi we ni MTZ? Siku zingine unaandika sijui manini
Mimi Sipo mnanionea wivu
Hapa naamini humaanishi mimi, right?Sky mjanja sana maandishi yake akiamua
Ila wajanja twayanyaka pwaaaa
Dawa Asprin iwe mtu
Mchati kwa posts na kuchekeana
Vidongo vyake eeeeeh.. na siku mmmh alimpaka mmmmh live kisa chati chati na wabebez eeeeeh
Mengi tunayaona burudani JF
Kabanwa na kazi huyoMbiti sijui mmefanyeje
Mbona kaadimika?!
Niulize tu. Mi ni babu yenu sina ugomvi na wajukuuNilitamani kuuliza ila nawaza jibu nitakalopewa
Nakukesya, waaachaagusu mkarukaNiache kupenda watu wenye papuchi za maana kama Mzigua90 nipende hivyo vidudu mtu vyenu....