Huyu Mwanafunzi kapatia au Kakosea na Mwalimu wake alistahili Kumuadhibu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwamba....

Mwalimu wake Kamuuliza Swali kuwa ukiachia Nelson Mandela Kufungwa takribani miaka 27 nani mwingine anamjua amefungwa ili kumfikia Mandela huyu Mwanafunzi akajibu kuwa ni Taifa Stars ( akimaanisha Timu ya Taifa Stars ya Tanzania baada ya Kufungwa lile Goli / Bao moja na Lesotho ) halafu akaketi zake kuendelea ratiba zingine za Darasani.

Hivi naandika huu ' Uzi ' huyu Mwanafunzi wa Shule ' fulani ' ya Bweni Kesho anaenda Kuadhibiwa kwa Kukosa adabu / nidhamu kwa Mwalimu wake. Je unavyoona Wewe huyu Mwanafunzi yupo sahihi au yanayomkuta sasa amejitakia mwenyewe tu?

Nawasilisha.
 
Tatizo uulizaji maswali Ni kosa mojawapo ndo maana watoto wanajibu vile walivyo elewa
 
Back
Top Bottom