Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.

Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.

Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake. Tazama hii video ambapo alihojiwa kama mfanya biashara wa madafu (tilia maanani maneno yake kua anajua karate na kick boxing) then tazama picha za Muungano na muuza madafu.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?








Pia soma: Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!
 
au jamaa alipewa kitengo baada ya kuuza madafu matamu pale ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…