Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Hapa ndio utaelewa kwa nini siri nyingi zinamfikia Mange Kimambi Yani mtu kama huyu tusingepaswa tumuone tena sababu ni Jasusi na watu walishaanza kumtambua kitambo eti ooh na yy anatudanganya kwa Ayo Tv hakuamin kama mama na Ikulu wangempa mwaliko😂😂😂 waanike masiri yao tu tuwajue na watu wao na kuna wengine tunakunywaga nao bia huko wanavimba wametoka geti Jeusi Sasa Unyeti wa Idara Uko wapi?
 
We ni ME au KE?
 
Pyee ndiyo Nini? Be a man
 
Suala la Ulinzi wa Nchi hii uko very complicated.

Miaka ya zamani ilikuwa wanatumiwa watu wenye kuonekana kama machizi Mtaani

Ikaja Kwa Walimu

Na sasa wamehamia kwenye Boda Boda na Wauza madafu hapo Mtaani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…