Huyu mwanajeshi wa JWTZ ana misifa anaporusha ndege za kivita

Mwanajeshi hana muda wa kupumzika, mwanajeshi hana overtime kama wanazokula watumishi wengine. 24hrs akihitajika anatakiwa awe tayari kwa lolote, akipata mwache atumie, mwache aongee lolote alifikialo. Usijichanganye kwake maana maisha yake ni "Its just a matter of life n death, a road either to safety or to ruin
Waacheni
 
Kucheza Draft na karata huko kambini na kutoka saa tisa ndui unasema hapumziki
 
Hujui majukumu ya kijeshi yalivyo, ukiona anacheza draft au karata kama usemavyo ndio tano yake hiyo.
Kucheza Draft na karata huko kambini na kutoka saa tisa ndui unasema hapumziki
 
Za jion jamani.

Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.

Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.

Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".

Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.

kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-

"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"

Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
Nimependa ulivyoelezea,unajua kutumia fasihi andishi vizuri.Hongera
 
Sio vizur kuhatarisha ajira ya MTU kwa insu personal zisizo za msingi kuziweka hapa..akifukuzwa utafurahi??..by the way maruban ni wachache..na unajua wazi wajedaa atakuja kula kwako..sijui utamuhudumiaje
 
Za jion jamani.

Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.

Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.

Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".

Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.

kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-

"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"

Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...

Akapimwe akili, zile ndege zina kelele sana hajui kuwa kuna watu wenye matatizo ya kiafya majumbani?
 
Za jion jamani.

Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.

Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.

Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".

Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.

kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-

"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"

Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
Mtoa mada Aidha huyo mjeda aliwadanganya au ww ndio umetunga hii stori kwa sababu zifuatazo
1.Ruti au njia itakapopita ndege hazipangwi na mtu mmoja kwa kujiamulia hii hufuata operation plan ya zoezi husika na warusha ndege hupewa na viongozi mapema na sio jambo la kujiamulia kuwa mda huu nipitie kwa washkaji au nipitie njia ya home.
2.Ndege zile haiwezi kutua Msata, zikienda kule ni kutekeleza majukumu mengine ya zoezi na sio kutua
3.Rubani wa fighter jet hawezi kuongea na cellphone once in a cockpit
 
Sasa bora umwambie tu hapo hapo mnapokuaga huku hayupo bwana.
Ndo unafiki wa watz mkuu wanajua kulalamikia pembeni wakati wakikutana utakuta huyu mtoa mada ndo anamsifia kaka rubani mwanajeshi
 
Za jion jamani.

Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.

Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.

Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".

Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.

kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-

"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"

Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
Ip address yako nnayo bado jina pumbavuu kabisa unajua kazi ya jeshi ww na unajua jeshi sio polisi huwa atusemwi ovyoovyo ntakuonyesha kazii
 
Kwahyo policie wasemwa hovyo ovyo,
Duuuuh! Ha ha kunan police tz.
 
Tanzania nako bado kuna ndege za Kivita au ni Mfano wa ndege za Kivita. Maana wakati Uganda wana Tu 21 na Kenya F16 na Apache helkopter Tanzania bado ni zile mig za ile miaka ya 40-60

Tanzania
6a00e5517ca26788340115705d8e20970b-pi

Kenya

ah_64e.jpg

Uganda Iliyokombolewa na Tanzania

hqdefault.jpg
 
Back
Top Bottom