Huyu mwanajeshi wa JWTZ ana misifa anaporusha ndege za kivita

baby hulali?
Nilale kabla sijaona maandishi ya ninaempenda!? Nimekusakua majukwaa yote mpaka nimeona unacomment majina ya watoto kule akina Sheila kabang ndo nikaridhika nikataka kulala kumbe na wewe unanichora tu!

Aaaaaah! I'm crazy in love.

Have a starry starry night hun mkuu.
 
Ndo unafiki wa watz mkuu wanajua kulalamikia pembeni wakati wakikutana utakuta huyu mtoa mada ndo anamsifia kaka rubani mwanajeshi
Unataka asimsifie afu ale kipondo cha buure.
 
Za jion jamani.

Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.

Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.

Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".

Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.

kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-

"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"

Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...

Hivi Ni kweli hayo?????.....
 
Mmmmh hivi siku hizi pale Msata kumbe fighters zinatua????!!!! Anyway haya ni mambo ya jeshi ngoja niishie hapa....
 
Acheni makamanda wafanye yao na nyie mnavyotujambisha na mabodaboda yenu mlio yakata mafla
 
Akapimwe akili, zile ndege zina kelele sana hajui kuwa kuna watu wenye matatizo ya kiafya majumbani?
We unafkiri hizo ndege za abiria au mizigo hizo ni dog fighter mwendo kusaka nyoka
Umenifanya nicheke zaidi😀😀😀😀😀.Sasa kwa usawa huu wa JPM kila mtu anajiongeza.Huyo ndio kajiongeza hivyo mkuu
 
Mtoa mada Aidha huyo mjeda aliwadanganya au ww ndio umetunga hii stori kwa sababu zifuatazo
1.Ruti au njia itakapopita ndege hazipangwi na mtu mmoja kwa kujiamulia hii hufuata operation plan ya zoezi husika na warusha ndege hupewa na viongozi mapema na sio jambo la kujiamulia kuwa mda huu nipitie kwa washkaji au nipitie njia ya home.
2.Ndege zile haiwezi kutua Msata, zikienda kule ni kutekeleza majukumu mengine ya zoezi na sio kutua
3.Rubani wa fighter jet hawezi kuongea na cellphone once in a cockpit
Na la kuongezea hapo, ndege ya kijeshi kuruka ni mlolongo mrefu pia. Vitengo vingi vya ndani ya jeshi na nje hushirikishwa, si bajaji lile. Rubani uandaliwa kiafya, saikolojia nk kwanza kwa siku hizo sidhani hata kama huwa wanakwenda baa. Hata akigombana na mkewe aruhusiwi kuiliendesha... ndege ikipaa chini watu kibao wanasali kuomba irudi salama. Haiondoki hadi wenye vitengo vyao wote waweke saini hadi madaktari, mafundi wa idara zote.

Huyo si rubani bali anaweza akawa fundi na akaijua ruti tu.
 
Za jion jamani.

Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.

Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.

Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".

Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.

kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-

"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"

Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
He he he he na zina nguruma zilee dah wanasema low altitude ila dah so chief nakubaliana nawe
 
Za jion jamani.

Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.

Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.

Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".

Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.

kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-

"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"

Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
Sometime kudanganyana raha.
Nani kasema Msata kuna uwanja wa ndege?
 
Back
Top Bottom