Kucheza Draft na karata huko kambini na kutoka saa tisa ndui unasema hapumzikiMwanajeshi hana muda wa kupumzika, mwanajeshi hana overtime kama wanazokula watumishi wengine. 24hrs akihitajika anatakiwa awe tayari kwa lolote, akipata mwache atumie, mwache aongee lolote alifikialo. Usijichanganye kwake maana maisha yake ni "Its just a matter of life n death, a road either to safety or to ruin
Waacheni
Kucheza Draft na karata huko kambini na kutoka saa tisa ndui unasema hapumziki
Amesema mwanajeshi, au hujui tofauti?View attachment 455299tupo nao tunakula selfie tu
Nimependa ulivyoelezea,unajua kutumia fasihi andishi vizuri.HongeraZa jion jamani.
Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.
Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.
Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".
Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.
kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-
"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"
Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
Hahaha hahaha haa we jamaa pumbafu sana umenichekesha wakati sikuwa na mpango huoHii nchi mpaka wote akili zetu ziwe sawa dadadeki.Kuna siku hizi ndege zitatua kwenye hiyo bar.
Umenifanya nicheke zaidi😀😀😀😀😀.Sasa kwa usawa huu wa JPM kila mtu anajiongeza.Huyo ndio kajiongeza hivyo mkuuHahaha hahaha haa we jamaa pumbafu sana umenichekesha wakati sikuwa na mpango huo
Za jion jamani.
Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.
Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.
Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".
Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.
kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-
"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"
Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
Mtoa mada Aidha huyo mjeda aliwadanganya au ww ndio umetunga hii stori kwa sababu zifuatazoZa jion jamani.
Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.
Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.
Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".
Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.
kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-
"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"
Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
Ndo unafiki wa watz mkuu wanajua kulalamikia pembeni wakati wakikutana utakuta huyu mtoa mada ndo anamsifia kaka rubani mwanajeshiSasa bora umwambie tu hapo hapo mnapokuaga huku hayupo bwana.
Ip address yako nnayo bado jina pumbavuu kabisa unajua kazi ya jeshi ww na unajua jeshi sio polisi huwa atusemwi ovyoovyo ntakuonyesha kaziiZa jion jamani.
Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.
Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.
Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".
Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.
kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-
"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"
Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
Kwahyo policie wasemwa hovyo ovyo,Ip address yako nnayo bado jina pumbavuu kabisa unajua kazi ya jeshi ww na unajua jeshi sio polisi huwa atusemwi ovyoovyo ntakuonyesha kazii