Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
baby hulali?Aaaaaaah! Kwa sifa na ubabe tu hawajambo...
Ona huyo wa hapo pembeni kabeba na bunduki kuubwa lile la mkanda kama la Rambo kama anaenda kukutana na Wacambodia.ahaha.
Sifa hizi!
Nilale kabla sijaona maandishi ya ninaempenda!? Nimekusakua majukwaa yote mpaka nimeona unacomment majina ya watoto kule akina Sheila kabang ndo nikaridhika nikataka kulala kumbe na wewe unanichora tu!baby hulali?
Hivi, ukiipiga manati hii ya kupigia ndege ndio basi tena?Manati muhimu sana maeneo hayo afanye mpango atafute akipita tu .........
Unataka asimsifie afu ale kipondo cha buure.Ndo unafiki wa watz mkuu wanajua kulalamikia pembeni wakati wakikutana utakuta huyu mtoa mada ndo anamsifia kaka rubani mwanajeshi
Ha ha ha ha ndo maana kaja kumsema huku JFUnataka asimsifie afu ale kipondo cha buure.
Za jion jamani.
Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.
Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.
Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".
Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.
kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-
"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"
Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...

We unafkiri hizo ndege za abiria au mizigo hizo ni dog fighter mwendo kusaka nyokaAkapimwe akili, zile ndege zina kelele sana hajui kuwa kuna watu wenye matatizo ya kiafya majumbani?
Umenifanya nicheke zaidi😀😀😀😀😀.Sasa kwa usawa huu wa JPM kila mtu anajiongeza.Huyo ndio kajiongeza hivyo mkuu
Sasa bora umwambie tu hapo hapo mnapokuaga huku hayupo bwana.
Na la kuongezea hapo, ndege ya kijeshi kuruka ni mlolongo mrefu pia. Vitengo vingi vya ndani ya jeshi na nje hushirikishwa, si bajaji lile. Rubani uandaliwa kiafya, saikolojia nk kwanza kwa siku hizo sidhani hata kama huwa wanakwenda baa. Hata akigombana na mkewe aruhusiwi kuiliendesha... ndege ikipaa chini watu kibao wanasali kuomba irudi salama. Haiondoki hadi wenye vitengo vyao wote waweke saini hadi madaktari, mafundi wa idara zote.Mtoa mada Aidha huyo mjeda aliwadanganya au ww ndio umetunga hii stori kwa sababu zifuatazo
1.Ruti au njia itakapopita ndege hazipangwi na mtu mmoja kwa kujiamulia hii hufuata operation plan ya zoezi husika na warusha ndege hupewa na viongozi mapema na sio jambo la kujiamulia kuwa mda huu nipitie kwa washkaji au nipitie njia ya home.
2.Ndege zile haiwezi kutua Msata, zikienda kule ni kutekeleza majukumu mengine ya zoezi na sio kutua
3.Rubani wa fighter jet hawezi kuongea na cellphone once in a cockpit
He he he he na zina nguruma zilee dah wanasema low altitude ila dah so chief nakubaliana naweZa jion jamani.
Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.
Anafanya kitendo hiki makusudi kabisa.
Siku moja akiwa bar Kibaha maili moja akasema:-
."Kesho nitazipitisha ndege hizo chini kabisa,nitawapigia cm nikianza kuziruhusu zikatize hapa Kibaha maili moja".
Baada ya hapo akachukua namba ya mmojawapo.
kesho yake mida ya saa 3 asubuhi,tukasikia muungurumo mkubwa sana wa ndege mbili zilizopita kwa kasi ya ajabu zikiwa chini chini kuelekea kikosi cha JWTZ kule Msata. Baada ya muda mfupi,akapiga simu:-
"mmeziona ee??,hapo nimezielekeza kwenda kutua Msata.Zitarudi kesho"
Aache misifa ya kuungurumisha ndege karibu na watu atakuja kutumaliza aisee...
Sometime kudanganyana raha.Za jion jamani.

Msata upo ...Sometime kudanganyana raha.
Nani kasema Msata kuna uwanja wa ndege?
Upo sehemu ganiMsata upo ...