Huyu mwanamke alinipenda mwenyewe kitendo cha kupunzishwa kazi ananikaushia

Huyu mwanamke alinipenda mwenyewe kitendo cha kupunzishwa kazi ananikaushia

We mke wa mtu akupende tu from nowhere? Wanaume wote ni mang’ombe kwani we unauspesho gani? Nundu mgongoni?

Huna kazi means Huna hela.
 
Ni sawa alikupenda mwenywe.. Ila kumvuka alikupenda kwa sababu ya...

Sasa kama hio sababu haipo tena upendo huwa unapungua.. Jichunguze
 
Wanawake wengi ni swine sana, pambana mkuu, usikate tamaa, bitches sre like buses you miss one, you catch another
 
Back
Top Bottom