Huyu mwanamke ananitishia maisha

Huyu mwanamke ananitishia maisha

Hapo vip!!

Embwana kudemu mmoja hapa kitaani ,japo mimi pande hizi za kwao mimi ni mgeni coz sina hata miezi 3,sasa siku moja nimetoka zangu kwenye mishe zangu mara nikakutana nae maeneo na nipo ishi.

Then kugeuka nikajikuta nae ananiangalia ikabidi nijikaze nikamuita then nikamsalimia kama kawaida nikamuomba number akanipatia.

Tukaendelea kuwasiliana kama siku 2 mbili hivi then nikamkaribisha kwangu siku moja bila hiyana akaja.

Days back sijamtongoza,so alivyokuja geto alivyovaa kimtegotego ikabidi nirushe nduano hapo nikajikuta nakula mzigo.But nilimuambia tunapeana raha then kila mtu atakuwa free kwenye mambo yake.Na Mimi nina mchumba wangu

Sasa chakusikitisha huyu demu amekuwa ananisumbua Sana aniambia anataka tuendeleze game,so ili kumuonyeshe ilikiwa napita tu kama nilivyo muambia nimekuwa si response simu wala sms zake.

Sasa juzi ameniambia lazima aje na wahuni wanifanyizie hapo ninapokaa labda niame ndio salama yangu.

Sms zake zote za vitisho nivyo and alafu mimi nimemdate siku moja sasa imekuwa kama nimempa mimba nikamtelekeza.
Hapa nawaza niende police nikamreport au nimpoteze niwasubiri hao wahuni wake.

Umenikumbusha jamaa yng mmoja amem-save dame kwenye phone book kwa jina la [HASHTAG]#vitisho[/HASHTAG]
 
Huyu wa Dar bila Shaka,sisi WA mikoani huwa hatulii lii,sisi tunagawa tu dozi, ukizingatia tunakula ugali WA ulezi, mgumu kutoka kwenye kinyeo, unaamua kutokea mbele,ndio maan show zetu sio Zach mchezomchezo,vidume WA Dar Es Salaam mnatuaibisha BWANa, Au bashite keshawaharibu
Huyu sio wa Dar mkuu jamaa amesema yeye ni mgeni huo mtaa,pia angekuwa ni wa dar si mnasema show zao ni hafifu sasa kwa nn huyu binti amgande
 
Wasubiri tu wahuni, weka na mafuta karibu
wewe dhubutu mm ndio ndio nitawageuza bora nipigane mpaka niwaue au tuuwane au waniuwe lakini hayo unayoyasema hayatakaa yatokee kamwe mpaka siku nondoka kwenye hii sayari.Siogopi kufa aisee
 
Kama mwanamke tu kakutisha umeogopa hivi, wanaume utawamudu???
 
mm si argue sana juu ya hili lakini jananimemtumia sms nikamuambia nasubiria utekelezaji wa hivyo vitisho vyake na police sintoenda coz naona kama anachelewa vile, kimya mpaka sasa hivi.
 
Kwa ustarabu muite ghetto mle mzigo halafu ongea naye kistaharabu zaidi na kiutu uzima zaidi atakuelewa.....
 
Hapo vipi,

Embwana kuna msichana mmoja hapa kitaani , japo mimi pande hizi za kwao mimi ni mgeni coz sina hata miezi 3,sasa siku moja nimetoka zangu kwenye mishe zangu mara nikakutana nae maeneo na nipo ishi.

Then kugeuka nikajikuta nae ananiangalia ikabidi nijikaze nikamuita then nikamsalimia kama kawaida nikamuomba number akanipatia.

Tukaendelea kuwasiliana kama siku 2 mbili hivi then nikamkaribisha kwangu siku moja bila hiyana akaja.

Days back sijamtongoza,so alivyokuja geto alivyovaa kimtegotego ikabidi nirushe nduano hapo nikajikuta nakula mzigo.But nilimuambia tunapeana raha then kila mtu atakuwa free kwenye mambo yake.Na Mimi nina mchumba wangu

Sasa chakusikitisha huyu msichana amekuwa ananisumbua sana aniambia anataka tuendeleze game, so ili kumuonyeshe ilikiwa napita tu kama nilivyo muambia nimekuwa si response simu wala SMS zake.

Sasa juzi ameniambia lazima aje na wahuni wanifanyizie hapo ninapokaa labda niame ndio salama yangu.

Sms zake zote za vitisho nivyo and alafu mimi nimemdate siku moja sasa imekuwa kama nimempa mimba nikamtelekeza.

Hapa nawaza niende police nikamreport au nimpoteze niwasubiri hao wahuni wake.
Idiot
 
Mkuu niachie password zako za jf nitawapa wana mrejesho, wadau na nyie naomba msijemkasumbua kutoa rambirambi za mwenzetu huyu, mi tayar nisha andaa sanda, wanawake wote andaeni machozi, njemba zote mjiandae kuchimba kaburi, mods watatusaidia jeneza.
 
Hapo vipi,

Embwana kuna msichana mmoja hapa kitaani , japo mimi pande hizi za kwao mimi ni mgeni coz sina hata miezi 3,sasa siku moja nimetoka zangu kwenye mishe zangu mara nikakutana nae maeneo na nipo ishi.

Then kugeuka nikajikuta nae ananiangalia ikabidi nijikaze nikamuita then nikamsalimia kama kawaida nikamuomba number akanipatia.

Tukaendelea kuwasiliana kama siku 2 mbili hivi then nikamkaribisha kwangu siku moja bila hiyana akaja.

Days back sijamtongoza,so alivyokuja geto alivyovaa kimtegotego ikabidi nirushe nduano hapo nikajikuta nakula mzigo.But nilimuambia tunapeana raha then kila mtu atakuwa free kwenye mambo yake.Na Mimi nina mchumba wangu

Sasa chakusikitisha huyu msichana amekuwa ananisumbua sana aniambia anataka tuendeleze game, so ili kumuonyeshe ilikiwa napita tu kama nilivyo muambia nimekuwa si response simu wala SMS zake.

Sasa juzi ameniambia lazima aje na wahuni wanifanyizie hapo ninapokaa labda niame ndio salama yangu.

Sms zake zote za vitisho nivyo and alafu mimi nimemdate siku moja sasa imekuwa kama nimempa mimba nikamtelekeza.

Hapa nawaza niende police nikamreport au nimpoteze niwasubiri hao wahuni wake.
Nipe namba zake nimkanye ili wewe ubaki Salama na yeye awe salama pia.
 
Back
Top Bottom