Nisingemalizia kusoma story yako ningekutukana. Ila achana naye kabisa huyo mbuzi atakuja akulize tena, Au akuue wewe. Pole sanaNakumbuka nilivyofikisha salary ya 650k kila mwez nilikua nampa 150k mana nilikua nampa ili anunue mahitaji ya nyumban kwao
Mpaka Mr Devil umekubali huyo ni katili sanaKwa mala ya kwanza nime soma story yote JF. bila kuruka ata neno .....hawa viumbe uwa wana roho za ajabu sana
Kosa la kwanza..... ulimfundisha huyo mwanamke unaweza kumhudumia yeye na familia yake...ukamfundisha utamu wa pesa hadi akaujua.
Ghafla ukamnyanganya hizo pesa...kwasababu alisha ujua utamu wa pesa asiyoifanyia kazi akatafuta bwana mwingine kipindi umefulia...
Kumbe huyo jamaa alikuwa anajipitia..sasa pesa hapati tena ameamua kurudi kwako uendelee kumpa pesa na kuitunza familia yake.
Achana na demu fanya maisha mzee japo umemharibu.
Kwa hiyo ndivyo huwa unafanya demu wako unampa pesa tu kisa unazo...?Alimfundisha vipi sasa, kama anazo anatoa kama hana basi (ukisema kumfundisha sijui unamaanisha nini)
Ushauri wa mwisho ndo muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio samare ya uzi?Kosa la kwanza..... ulimfundisha huyo mwanamke unaweza kumhudumia yeye na familia yake...ukamfundisha utamu wa pesa hadi akaujua.
Ghafla ukamnyanganya hizo pesa...kwasababu alisha ujua utamu wa pesa asiyoifanyia kazi akatafuta bwana mwingine kipindi umefulia...
Kumbe huyo jamaa alikuwa anajipitia..sasa pesa hapati tena ameamua kurudi kwako uendelee kumpa pesa na kuitunza familia yake.
Achana na demu fanya maisha mzee japo umemharibu.
Kosa la kwanza..... ulimfundisha huyo mwanamke unaweza kumhudumia yeye na familia yake...ukamfundisha utamu wa pesa hadi akaujua.
Ghafla ukamnyanganya hizo pesa...kwasababu alisha ujua utamu wa pesa asiyoifanyia kazi akatafuta bwana mwingine kipindi umefulia...
Kumbe huyo jamaa alikuwa anajipitia..sasa pesa hapati tena ameamua kurudi kwako uendelee kumpa pesa na kuitunza familia yake.
Achana na demu fanya maisha mzee japo umemharibu.
Ulimaanisha mwanasaikolojia nadhaniPole Sanaa Jimmy [emoji17][emoji53]
Nakushauri jaribu kutafuta mwanasheria umueleze hili jambo huenda atakushauri kiundani zaidi....ili baadae isije kukuletea shida maana kwa sasa unatawaliw na hasira zaidi kila unapomuona.....
Ila sisi wanawake ni pasua kichwa kwa kweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
nime skip 'gazeti' lake na kusoma samari yako, safi sanaKosa la kwanza..... ulimfundisha huyo mwanamke unaweza kumhudumia yeye na familia yake...ukamfundisha utamu wa pesa hadi akaujua.
Ghafla ukamnyanganya hizo pesa...kwasababu alisha ujua utamu wa pesa asiyoifanyia kazi akatafuta bwana mwingine kipindi umefulia...
Kumbe huyo jamaa alikuwa anajipitia..sasa pesa hapati tena ameamua kurudi kwako uendelee kumpa pesa na kuitunza familia yake.
Achana na demu fanya maisha mzee japo umemharibu.
Hilo suala atamuachiaje mungu wakati lipo kwenye uwezo wake?Mkabidhi Mungu mambo yako yote nawe utakua salama...