Huyu mwanamke inapoelekea nitampiga nifungwe bure

Hasira hasara..achana nae atakupoteza bure
 
Nakumbuka nilivyofikisha salary ya 650k kila mwez nilikua nampa 150k mana nilikua nampa ili anunue mahitaji ya nyumban kwao
Nisingemalizia kusoma story yako ningekutukana. Ila achana naye kabisa huyo mbuzi atakuja akulize tena, Au akuue wewe. Pole sana
 
Kosa la kwanza..... ulimfundisha huyo mwanamke unaweza kumhudumia yeye na familia yake...ukamfundisha utamu wa pesa hadi akaujua.

Ghafla ukamnyanganya hizo pesa...kwasababu alisha ujua utamu wa pesa asiyoifanyia kazi akatafuta bwana mwingine kipindi umefulia...

Kumbe huyo jamaa alikuwa anajipitia..sasa pesa hapati tena ameamua kurudi kwako uendelee kumpa pesa na kuitunza familia yake.

Achana na demu fanya maisha mzee japo umemharibu.

Alimfundisha vipi sasa, kama anazo anatoa kama hana basi (ukisema kumfundisha sijui unamaanisha nini)

Ushauri wa mwisho ndo muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uliwezaje kuona Whatsup status ya mtu, kwa kuweka no. tu kwenye simu ya mtu mwingine???
nikamuomba simu nikaweka namba ya demu nikakuta wako na jamaa flan,nikacheki status nyingi wakiwa wanapika pmj
 
Mkuu maumivu yako hayataisha kirahisi kwa kuwa bado unampenda na kinachokuuma umeshathibitisha kwamba amekusalti,Fanya kitu kimoja kwanza pimeni kujua afya zenu kisha rudisha mahusiano anza kumega huku ukitafuta demu mpya mkali kuliko yeye kisha anza kumuacha taratibu maumivu atakayokuja kuyapata ni zaidi,na moyo wako utakuwa na amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa yaliyokukuta ndugu. Umeeleza kwa huzuni na uchungu mzito moyoni mwako!

Usimfanyie unyama wowote wala kitu chochote kibaya. Bali samehe na sahau kabisa. Najua uliumia na jeraha lake bado linautesa moyo wako. Ila amini na ujue hayo ndiyo madhara ya kumuamini zaidi ya 50% na kumuweka mtu moyoni.

Japokuwa ulimtunza ila hakuwa na moyo wa shukrani.

Ili usimsamehe waeleze ndugu zako na hata ndugu zake yaliyotokea ili wasijekuwa wanakuona wewe ndiye umebadilika.

Baada ya hapo, tulia utafute mrembo mzuri uoe ili utulie vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa la kwanza..... ulimfundisha huyo mwanamke unaweza kumhudumia yeye na familia yake...ukamfundisha utamu wa pesa hadi akaujua.

Ghafla ukamnyanganya hizo pesa...kwasababu alisha ujua utamu wa pesa asiyoifanyia kazi akatafuta bwana mwingine kipindi umefulia...

Kumbe huyo jamaa alikuwa anajipitia..sasa pesa hapati tena ameamua kurudi kwako uendelee kumpa pesa na kuitunza familia yake.

Achana na demu fanya maisha mzee japo umemharibu.
Hii ndio samare ya uzi?
 
Mzee baba endelea na mitikasi...achana nae........... Mtafute mwana saikolojia akuondoe kwny ulmwengu usio faa na ukikaa sawa fikisha habari za kutotaka shari hadi kwa maza ake[]
 
Kosa la kwanza..... ulimfundisha huyo mwanamke unaweza kumhudumia yeye na familia yake...ukamfundisha utamu wa pesa hadi akaujua.

Ghafla ukamnyanganya hizo pesa...kwasababu alisha ujua utamu wa pesa asiyoifanyia kazi akatafuta bwana mwingine kipindi umefulia...

Kumbe huyo jamaa alikuwa anajipitia..sasa pesa hapati tena ameamua kurudi kwako uendelee kumpa pesa na kuitunza familia yake.

Achana na demu fanya maisha mzee japo umemharibu.

Vijana kila leo hapa nawaambia kuwa mwanamke hapendi anaangalia life bado hawapati somo.
 
Pole Sanaa Jimmy [emoji17][emoji53]
Nakushauri jaribu kutafuta mwanasheria umueleze hili jambo huenda atakushauri kiundani zaidi....ili baadae isije kukuletea shida maana kwa sasa unatawaliw na hasira zaidi kila unapomuona.....

Ila sisi wanawake ni pasua kichwa kwa kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimaanisha mwanasaikolojia nadhani
 
Kosa la kwanza..... ulimfundisha huyo mwanamke unaweza kumhudumia yeye na familia yake...ukamfundisha utamu wa pesa hadi akaujua.

Ghafla ukamnyanganya hizo pesa...kwasababu alisha ujua utamu wa pesa asiyoifanyia kazi akatafuta bwana mwingine kipindi umefulia...

Kumbe huyo jamaa alikuwa anajipitia..sasa pesa hapati tena ameamua kurudi kwako uendelee kumpa pesa na kuitunza familia yake.

Achana na demu fanya maisha mzee japo umemharibu.
nime skip 'gazeti' lake na kusoma samari yako, safi sana
 
Kwanza usimsamehe hakufai kwa maisha ya badae

Pili jitahidi utafute demu unaemkubali na anaekujali japo kijijjn ishi nae ili akuone una mtu wako akate tamaa ya kukufatilia
 
Back
Top Bottom