Huyu mwanamke ni sahihi kuniambia maneno haya?

Nakumbuka day mmoja siku ya skukuu siku iyo nina 4500 mchana then tuko wawili mke anafosi anataka pilau etii wenzangu wote leo wamepika pilau ww wataka upike ugali daaaa iliniuma sana ila nashkuru now kapata wa kumpa pilau kila siku ila moyo wangu unaamani
 
Nashukuru nina moyo kama jiwe.
Ukiniletea za kuleta nakuonyeshea mlango. Pole na safi sana kwa situation yako.
 
Habari za harakati za maisha wananzengo,

Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.

Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.

Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.

Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.

Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.

Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.

Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?

Huyo sio mke ni mufilisi.

Mke kama mke angeweza kuibania hiyo pesa mpka hata nusu mwezi kama ana macho ya kuona mbali.

Sometime usioe mwanamke kabla ya kumchunguza vizuri.

Mke mwema hulinda ulimi wake usimkwaze mwenzi wake.

Kwa kifupi hapo kuna reserve player ndio anamtia kibri.

Vumilia baba.

Ingekuwa mimi ningemwambia nisimkute na HAKIKA talaka zote zingemfuata huko kwao
 
Kwanza unatakiwa kujua akili ya mwanamke haina akili, kesho ukimuuliza alicho kisema leo atakana kusema hakusema hivyo au msamehe shetani alimpitia.

Pili uje mtu huzungumza kilicho moyoni mwake, hivyo hayo aliyo sema tarajia yatatekelezeka sio muda mrefu.

Mwisho chukua tahadhari za kiume, ukiweza mshutue na makofi kidogo ili awe na tahadhari na kauli na matendo yake juu yako.

Mwisho wa yote ndugu mwanamke usimzingatie sana, angalia maisha yako na watoto wako , usimpe mwanamke moyo wako wote, mpe asimilia ndogo sana, au ikibidi usimpe kabisa.
Mhhh alafu
 
Habari za harakati za maisha wananzengo,

Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.

Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.

Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.

Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.

Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.

Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.

Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Mkuu uko seriously?[emoji15]
 
Inadepend una mahitaji ndani na hiyo ni ziada. Mf. Uko na mchele, unga tambi, kande, harage, mafuta, vizaga flani hivi na ukute naye ana job flan hivi hio itakuwa mingi sana.
 
Huyo sio mke ni mufikisi.

Mke kama mke angeweza kuibania hiyo pesa mpka hata nusu mwezi kama ana macho ya kuona mbali.

Sometime usioe mwanamke kabla ya kumchunguza vizuri.

Mke mwema hulinda ulimi wake usimkwaze mwenzi wake.

Kwa kifupi hapo kuna reserve player ndio anamtia kibri.

Vumilia baba.

Ingekuwa mimi ningemwambia nisimkute na HAKIKA talaka zote zingemfuata huko kwao
Mkuu heri ya mwaka mpya
Ulipotea sana hapa jf
Hawa vijana wanahitaj ushauri kama huu kutoka kwa wakongwe wa jf

Tume miss sana mchango wako mkuu
 
Back
Top Bottom