Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,909
- 1,968
Mbona mmeshaanza kutusema mkuu wairaq wamefanyajeMwambie huyo
Wape ile story yako na mwiraq wako mkuu

Bro huna 💰 mapenzi ya nini na ninataka akatombwe njee kabisa na wanaume wenye hela zao kwann hujujipanga Sana au ulidhani wanawake wa sasaivi ni wale wa tuchume wote Hooo umeyakoroga yanyweHabari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Hii ni ishu binafsi sana sana, hadi nashangaa, ni ya familia sana, halafu kitoto chenyewe kimoja napiga makofi na mangumi nafukuzia mbali kibwengo wa aina hioHabari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Mwambie huyo fala kweli Mimi ni mwanaume sema simtetei 30k ni nini sasa kwa wiki na familia juu huyu jamaa ana utani SanaAisee kuwa tegemezi tabu sana. Nikajua laki 3 kumbe elfu 30 yaani elfu 10 ziwe tatu. Pole yake huyo mkeo
Well saidKwanza unatakiwa kujua akili ya mwanamke haina akili, kesho ukimuuliza alicho kisema leo atakana kusema hakusema hivyo au msamehe shetani alimpitia.
Pili uje mtu huzungumza kilicho moyoni mwake, hivyo hayo aliyo sema tarajia yatatekelezeka sio muda mrefu.
Mwisho chukua tahadhari za kiume, ukiweza mshutue na makofi kidogo ili awe na tahadhari na kauli na matendo yake juu yako.
Mwisho wa yote ndugu mwanamke usimzingatie sana, angalia maisha yako na watoto wako , usimpe mwanamke moyo wako wote, mpe asimilia ndogo sana, au ikibidi usimpe kabisa.
Kwanza pole kwa mkasa uliokukumba ndugu Abdul Mganyizi huenda kuna tatizo lingine zaidi ya hili ndani ya familia yako au huyo mkeo ameanza tabia ya unywaji wa pombe kimya kimya kama si hivyo basi atakua Amechoshwa na baadhi ya tabia zako za ubaba mwingi hadi kufanya manunuzi ya mahitaji ya ndani wewe mwenyewe pasipo kushirikiana..Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Shida ni kwamba watu wengi tunataka tuishi maisha yasiyo yetu ,,kama kila kitu kipo ndani,,mbona 30 kubwa sana ,kama huwezi kusave kidogo hata kikubwa utakimaliza...Habari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Aisee kuwa tegemezi tabu sana. Nikajua laki 3 kumbe elfu 30 yaani elfu 10 ziwe tatu. Pole yake huyo mkeo
Dah! Mwanamke mwenzangu alikua na hoja ila hana kauli nzuri
30k kwa wiki mzee baba?🤔
Maneno aliyoyatoa ni magumu na hayajengi, ila bajeti ya elfu 30/7 ni mtihani kwa maisha ya familia ya watu watatu.
Hela ndogo hiyo miharage watakula kila siku eeh?siku saba dagaa anunue kiasi gani na aziunge ili zilike vizur na nyama hajanunua.acha ubahiri ukiona mkeo kakuchoka na ukute sokoni unaenda mwenyewe unajiona mwamba kununua mivyakula hiyo..mpe pesa mkeo apambane mwenyewe na bajeti zipo za bei ndogo ila unabadilisha mlo...mindondo kila siku sio mchezo we jamaa
Sitaki nidhani, ila inaonekana mwenzio hajui kipato chako. Kama anakipata basi kuna jambo tena kubwa analotafutia sababu. Kwani baba yake angemuachia bei gani?Habari za harakati za maisha wananzengo,
Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli.
Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf mchele, unga, mafuta, sabuni, ngano, maharage na vitu vingne ambavyo ni mahitaji.
Safari yangu ilikuwa ni ya week moja ambapo niliondoka j'2 na kurudi J'3 ya week iliyofuata. Sasa pesa za matumizi ya mboga ,labda mshumaa In case umeme umekata nilimpa shilingi 30,000.
Ndani wapo watu watatu mke wangu, mjomba wangu yaani mtoto wa dadaangu yupo form one na mwanangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu.
Kabla ya siku mbili kuanza safari ya kurudi alinipigia simu anasema pesa imeisha ya matumizi, mwanamme mzima naiachia familia nzima elf 30000 kwa muda wa wiki nzima ,kwakweli nikaumia sana kwa maneno yale. Lakini kubwa zaidi nilivyomuambia kuwa anivumilie kwesho kutwa nakuja akasema bora hata upate ajali ufie huko usirudi kabisaa make mme gani huwezi kulea familia.
Mm kipato changu ni shiling laki tano kwa mwezi ila ninavyoona mke wangu anahitaji maisha ya kupato cha milioni. Maneno anayoniambia kama huwezi kulea familia subiri uje usaidiwe yamenikasirisha sana wakati mm ninatoa kile nilicho nacho.
Sasa ndugu zangu mwanamke kama huyo utamfanyaje?
Hata kwenye ndoto, kataa ndoaTrust me mzee wangu, kuna mwamba tayari kaingilia himaya yako... anamuhonga mkeo hela ya maana inayomvuruga mkeo akili na kuona kwamba huyo ndo mwanaume.... Ndo mkome mkiambiwa msioe.
Au mke anajua kuwa pesa ipo, ila jamaa amefanya kumbania kwa kumuachia kiasi kidogo..🤔Sitaki nidhani, ila inaonekana mwenzio hajui kipato chako. Kama anakipata basi kuna jambo tena kubwa analotafutia sababu. Kwani baba yake angemuachia bei gani?